Mchumba tasa

Mchumba tasa

Meddy masumbuko

New Member
Joined
May 23, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Naitwa Ahmed nina umri wa miaka 30, naishi Dar es salaam, natafuta mchumba ambaye baadaye Mungu akipenda awe mke mwenye sifa zifuatazo:-

(1). Awe muislamu au dini yoyote lakini awe tayari kubadili na kuwa muuslamu.

(2). Awe hana uwezo wa kupata mtoto yaani tasa.

(3). Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 40.

(4). Awe na umbile kubwa zuri na la kupendeza rangi sichagui wala kabila.

Aliye tayari tuwasiliane kwa barua pepe ifuatayo;

[email]Ahmed_samwel@yahoo.com
[/EMAIL]

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom