Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

Saraeli

Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
8
Reaction score
17
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .

Thanks
 
tupia kapicha basi watu tuanze kubet
 
40 - 50? Unless otherwise unataka kuchukua mume wa mtu!

wala sio lazima
ivi huamin kwamba kuna wanaume wa umri huo ambao bado hawajaoa?
wapo wengine ambao kwasabb ya kuwah kupata wtt wa mashtuzi basi hulazimika kupiga poo kuoa adi mtoto akue ndipo aanze kutafuta mwenza?

istoshe wapo pia wale ambao wamewah kufiwa na wake zao na sasa wanahitaj tena kuoa............hao je sio sahihi kwake kujipatiemo?

tusi narrow down sample size ilihali scope is very broad
 
umelenga 40-50 yrs na sifa ulizotoa educated?. umri huu wengi wanaofisi zao hutaki lala njaa
 
wala sio lazima
ivi huamin kwamba kuna wanaume wa umri huo ambao bado hawajaoa?
wapo wengine ambao kwasabb ya kuwah kupata wtt wa mashtuzi basi hulazimika kupiga poo kuoa adi mtoto akue ndipo aanze kutafuta mwenza?

istoshe wapo pia wale ambao wamewah kufiwa na wake zao na sasa wanahitaj tena kuoa............hao je sio sahihi kwake kujipatiemo?

tusi narrow down sample size ilihali scope is very broad

Mara nyingi nikiona mtu anaomba kitu alichokiwekea description basi naamini kwamba tayari ameshakuwa interested mahala fulani...its better kumuappoint huyo mtu straight badala ya kuwekeana jam....Alegeze mashart perhaps anaweza pata kaserengeti boy kakamkamata vizuri kuliko hawa wenye umri wa kugombea urais!
 
acha hawa wazee wanauzuri wake mdogo wangu
ndoa si kulalana tu kuna zaid ya hayo ambayo bila hekima na busara huwez kuyatenda
 
Umri huo? Labda mjane au mtalaka. Ukipata ambae ni free lazima kuna sababu..........au tabia..... ambayo pia wengine wameshindwa. Nakushauri kama uko alone we kaza buti songa mbele kivyako, hapa unatafuta matatizo.
 
mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .

Thanks

niko tayari npm
 
Kaka yang usikariri sana . Si kila maisha yana path uliyokariri kichwani ;

Its better to disclose even partially what happen in your previously relations/dating coz it ain't sound pleasant kwa graduate mwenye kazi then 35 plus kuja na proposal ya aina hii....tuambie interaction yako,shuleni,chuoni,kazini,na maisha ya nyumbani ikoje perhaps ushauri wetu ukapasha kiporo chako moto rather than kissing another frog!
 
acha hawa wazee wanauzuri wake mdogo wangu
ndoa si kulalana tu kuna zaid ya hayo ambayo bila hekima na busara huwez kuyatenda

Hofu yangu ni kujiandaa kulelea mzee ungali kwenye peak ya uhitaji....ukiniambia labda wengi wanakimbilia kuolewa na range hii kwa sababu ya financial security nitakuelewa ila kama ni sababu nyingine naweka kapuni!
 
Njia pekee ya kumpata huyo wa hizo sifa zako ni 1. Kuiba mume wa mtu au 2. Kumpata mjane.... But all in all nice try!!! :confused2:
 
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .

Thanks

Mwemzako zari kachua dogo dogo
 
ni PM....
 
Its better to disclose even partially what happen in your previously relations/dating coz it ain't sound pleasant kwa graduate mwenye kazi then 35 plus kuja na proposal ya aina hii....tuambie interaction yako,shuleni,chuoni,kazini,na maisha ya nyumbani ikoje perhaps ushauri wetu ukapasha kiporo chako moto rather than kissing another frog!

Just back off , this isnt your league kaka --its too low of you kuuliza haya hapa ; Sorry
 
sisi wengine ukatoliki wetu umemezwa juzi na pambano la pac , sasa isije ikawa kigezo kuwa huwa unatoa sadaka bei gani na jumuiya nako unachangia ngapi, uwaka umejiunga lini, mwisho wa siku haya ungama nione kama mkatoliki kweli hiyo ni page ya kwanza ya pili vidudu ulisoma wapi na ulisoma na nani maarufu, shule ya msingi wapina mwl mkuu alikwa anaitwa nani

wee tafuta mume bwana masharti kibao ya nn
 
Back
Top Bottom