Mimi kama lauzi nimeshaoa ila kuna rafiki yangu yeye anahitaji mke vigezo vya mwanamke anayetakiwa umri 24 - 28 awe na kazi akiwa mwalimu itakuwa vizuri zaidi dini awe Muslim, mwanaume yeye ni...
Hi? Iam a man, hereby looking a wife material who will marry me.So If you are a woman (any religion,colour,tribe,bachelor degree,age23-32,) warmly welcome,except who have a children.
Pm My age is...
Hey wapendwa,
Nahitaji marafiki wa kuchart na kubadilishana mawazo. Pia napenda kujifunza mengi kupitia watu mbalimbali sibagui dini.
jinsia wala kabila.
Nina miaka 28, Mnyakyusa, mrefu wastani nata msichana awe Msukuma. Maji ya kunde, mcha Mungu na awe na heshima na adabu na umri 25 kushuka.
Aliye tayari ani PM na nitamjibu
Mimi ni mwanaume rijali natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, asiwe amewahi kuolewa, asitumie kilevi chochote, asiwe na mtoto, umri wake 20-32, mvumlivu na mpole.
Elimu shahada ya kwanza...
Habari ya mchana wapenzi wa MMU,
Natafuta rafiki wa like awe ana miaka 25 na kuendelea awe anaishi Dar mimi nipo Dar. Mimi mkristo.
Mengine aje pm
Asanteni na karibuni
Habarini wakuu,
Natafuta mke wa kuoa anaeishi Kibaha atapewa kipaumbele, umri wangu ni miaka28 nipo siingle sijaoa, mke ni mtakae awe mweupe, elimu kidato cha sita na kuendelea, asiwe na mtoto...
Asanteni jamani mlio pm nasema asante sana hakika ukitii utakula mema ya nchi. Nimepata pm nyingi sana naomba kusema zimetosha ili niweze kuchagua mme kati ya hawa.
Asanteni
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu, akiwa ameokoka itakuwa vyema zaidi. Umri miaka 23 hadi miaka 27. Napenda awe mrefu akiwa mweupe itakuwa vyema zaidi. Awe...
Natafuta rafiki wa jinsia yoyote lakini awe msomi mzuri na sio wa kubabaisha angalau ana degree na awe na intelectual ideas na mtafiti wa masuala mbali mbali.
Rejea post yangu,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46, bado natafuta mwanamke mwenye nia ya dhati na ya kweli kutoka moyoni ambae anaitaji mume.
Namba yangu ni 0718 53 18 23
Karibu sana
Dunia hii ina mambo mengi sana, unaweza kudhani kuna wanawake wengi kiasi kwamba hawana waoaji, lakini pia kumbe kuna wanaume kibao hawajui waanzie wapi ili kupata wake.
Kuna jamaa zangu...
Chat-pal ikimaanisha rafiki wa kushare mawazo, story, jokes, feelings and experience Kahusu masuala mtambuka kwa vijana, suala la ajira na kipato yakiwemo.
Vigezo kuzingatiwa;
. Umri usizidi...
Ni mgeni humu Jf,
Mwanamke mwenye mawazo chanya anaitajika just 4 chating. Dini yoyote. Umri from 30yrs and above.
Elimu from 4m IV and above.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.