Jamani natafuta mpenzi atakaye kuwa tayari na kukubaliana na hali yangu i mran life style mimi ni mnywaji ila si mlevi sana sio tuwe wote uanze ooohh bby acha kunywa.
Mimi sitakuelewa pia kama...
Im going to be honest of what Im going to say here. Im 25 this year. Im very pretty, have style and good taste. I wish to marry a guy with $500k annual salary or above. You might say that Im...
Rafiki yangu ni ni mwanamke mzuri, chapa kazi mwenye watoto wa3 aliyetoka kwenye ndoa chungu. anatafuta mume awe ana watoto au asiyeweza kuzaa na hatojali kuishi na wanaye na yeye kama kitu...
Habari, mi niko Dar es salaam ila kwa masomo tu nasafiri mda wowote.
Makazi halisi ni Tanga korogwe, ila si mwenyeji sana kwasababu sijaishi sana huko.
Mi mwenyeji sana mkoa wa Mara musoma...
Ninayo heshima na uadilifu mkubwa kwenu;napenda kujitokeza katika jukwaa ili kwa lengo la kutafuta mke wa maisha,mke wa kuanzisha nae familia.mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,nina urefu wa...
Jina naitwa jeffa Chibah nina miaka 22 natokea kibaha ni mwanachuo kampala univecity nahitaji mpenzi jamani awe na miaka mwisho 22 na awe anajitambua.
Namba yangu 0752832215
Jamani nimerudi tena nilipost ombi langu hapa kuwa nahitaji mwanamke wa kumuoa nimedhamilia na wala si utani age yangu ni (30) na nimeajiriwa serikalini! niliomba kuwasiliana nami kwa Pm kwa...
Wadau,
Mimi najitokeza kutafuta kadada kadodo alafu kazuri, awe anaishi Dar es salaam napendelea zaidi awe level ya chuo kikuu, ani pm alie tayari, mimi age yng 29, yeye awe below 26
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.