Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari Wakuu, Najitokeza kutafuta mke wakuoa, mimi ni mwanaume rijali naishi Dar. Sifa zangu situmii kilevi chochote. Ni maji ya kunde, mwenye umri wa miaka 32, sina mtoto. Nimtafutae awe na...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
25 ndio miaka yangu, Richie ndio jina langu, Tabata ndio makazi yangu, natafuta mwanamke anayejua thamani ya kupendwa na anayejua kupenda kujali, sichagui umri maana umri ni namba tu. Kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kichwa cha habari hapo juu kimeshajitosheleza hivyo kama kuna dada atakayekuwa tayari na kukubaliana na hali yangu hiyo ya kipato na atanivumilia nitafurahi kwani naamini endapo nitampata mwenza...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mambo, Natafuta mpenzi wa kike hapa awe ni mkazi wa Mara tu na si vinginevyo. Kwa aliye tayari anitumie namba ya simu pia awe na umri usiopungua miaka 29, ndoa inaweza kuwepo kama tutaelewana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sorry, Mimi natafuta mke humu Jf, nina miaka 24,sichagui dini wala kabila,natumaini kuwa nitampata tutakaependana next namaliza chuo hivyo nahitaji wa kuwa naye am tired 2b alone.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, I am a Tanzanian man looking for a lifemate, please send me a private message for further explanations.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu UMUHIMU WA TENDO LA NDOA KIAFYA 💕Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi...
1 Reactions
32 Replies
10K Views
Natafuta rafiki wa kike mwenye kujiheshimu umri awe miaka 30-42 mengi tutaongea baada ya kuwasiliana. Asante
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Aliye tayari ani pm serious
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Saluti kwenu, Natafuta mpenzi wa kike from 18 yrs to 25yrs anayejtambua na kujheshmu awe Dar. Kwa mawasliano ni pm
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nimeshapata mwandani wangu wa maisha, so heshima uko PM mambo ya kutumiana message mpaka saa nane za usiku mwisho, baby wangu ana wivu, najua mtachonga sana mie nshakufa nimeoza...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
No me but my cousin ni mwalimu sec Moja ya wasichana🌹
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Hello guys, Mimi ninaitwa Brayan ninatafuta mpenzi ambaye ndiyo nitakae muoa kabisa, ila awe anajielewa na yuko tayari awasiliane na mimi kwa number:+255719559199 au +44701185693.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahmoud ndio jina langu sina maneno mengi kama hitajio langu linavyo jieleza. Awe na sifa zifuatazo; -Mkarimu -Muislam au awe tayari kubadili dini kwa dhehebu jingine -Umri 16-22 -Elimu kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandungu, Nimechoka upweke na wakati huko Rombo naweza pata kisu cha maana moyoni mwangu. Muhusika chungulia pm tuzoze. Kama huusiki fanya kama hujaona hivi! Alafu itakua poa kuliko kudondosha...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Hodi humu ndani, Wadau kwa heshima nawasalimu woote, mimi nina umri wa miaka 29,kwa makabila mama ni Mpare wa Same na baba ni Mnyamwezi wa Sikonge Tabora. nimezaliwa tabora na kukulia huko.Ila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow, Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Wenye umri wa miaka 17-21. Mimi ni wa kiume(ME) Aliyetayari ani PM namba yake kwa mawasiliano zaidi. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta marafiki wa kuanzia 36-65, wa kubadilishana mawazo, chini ya hapo sitaki.
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama wewe ni mdada unayejitambua upo mpweke au umeumizwa sana naomba kampani yako ya ku chat, outing na kubadilishana mawazo. Please uwe serious umri wangu miaka 29 number 0713644485
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom