Mwanamke wa kuchat naye

Mwanamke wa kuchat naye

Singwa

Member
Joined
May 26, 2011
Posts
65
Reaction score
25
Mimi ni kijana miaka 35, nimeachana na mke wangu miezi michache ilipita. Nina watoto 2, Ninahitaji mwanamke wa kabila lolote but specifically awe mkristo miaka 20 - 30.

Awe na shepu kiasi, mcha Mungu, mrefu wastani, elimu kuanzia degree hadi PhD, asiwe mlevi au mvuta sigara. Awe tayari kuishi popote Tanzania au nje ya nchi. Awe na uwezo wa kujiongoza na kujisimamia.

Ni PM kwa makubaliano tafadhali
 
Mwanamke mwenye sifa hizo, akifaa kuwa mke thanks God!
 
Jamani kuhusu elimu, hizo ni sifa za jumla. Hivyo kama vigezo vingine vinaqualify twaweza kuzungumza zaidi kwa private sms.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom