Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

eleison

New Member
Joined
May 25, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Naitwa Elisha nipo Dar es salaam nasoma chuo, natafuta mpenzi mwenye mpenzi ya dhati asiwe mpenda pesa umri kati ya miaka 18-23 namba yangu ni 0658281933, Sifa awe mfupi wa wastani.
 
mbona hujasema urefu wa pochi yako uko vipi???
Taja na mali unazomiliki utaona watakavyokuja mbiiiooo
 
Naitwa Elisha nipo Dar nasoma chuo natafuta mpenzi mwenye mpenzi ya dhati asiwe mpenda pesa UMRI NI KATI YA MIAKA 18-23 NAMBA YANGU NI 0658281933 Sifa awe mfupi wa wastani.
Sasa Nabii Elisha unaonaje kama utatafuta hapo chuo au ni single???? Kama hujapata unaowaona unafikiri huku gizani utaambua kitu????
 
chuoni vipi umekosa? wa mtaani huko ndugu nao uliwashirikisha japo sku hizi zama zimebadilika unatafta mwenyewe na si kutaftiwa
 
Navohisi JF wengi huo umri hawana ...huku ni wabibi tu wengi.....PM namba yako nikuunganishe sehemu kuna totoz mpaka utazikimbia kwa huo umri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom