KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Wakuu habari yenu,
Mi ni kijana wa miaka 30 natafuta mrembo wa kumuoa awe mweupe asiye tumia mkorogo wa aina yoyote niko tayari kumpa hata zawadi ya gari kama ataridhia kuwa na mimi awe anaanzia miaka 19 - 24.