Hello everyone.
Few months ago nilijitokeza hapa nikitafuta mchumba mwenye sifa nilizozitaja hapo lakn walijitokeza watu ambao waliniletea utani mwingi na hatimaye nilikata tamaa lakin kwa sasa...
Heshima kwenu wanajamvi,
Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa...
Hamjambo na karibu tena katika Jukwaa hili Huru kuhusu Masuala ya Mahusiano.
Natafuta mpenzi tutaeishi nae kwa mkataba.
(1)Mkataba usiozidi kipindi cha miezi kumi na mbili au chini ya hapo...
Nikiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu mwingine,niameamua kwa nia moja kutoa ombi langu hapa,kwa madhumu ya kutafuta MKE WA MAISHA,ninatafuta MWANAMKE ambaye mwenye shida tu ya kuitaji...
Nilitendwa sana nikawachukia wanawake nikaapa sitaoa tena. Lakini kutokana na mastress ya maisha, kazi na ushauri wa ndugu, jamaa na marafiki nimeona nimtafute wa kumuoa kwa kuanzia hapa jamii...
Habari zenu wanajamvi,
Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya...
Jaman na mm natafuta mchumba vgezo awe kat ya miaka 22 hadi 24 asiwe mnene sana wala mwembamba SNA yaan saiz ya kat tuu asiwe mweupe sana wala asiwe mweuc sana ila kumbuka npo silias kwa hyo...
Watoto wadogo wanakela sana na wasumbufu nimechoshwa na mapenzi yao,mimi kijana umri miaka 26 ni mrefu ,natafuta mpenzi umri kat i ya miaka 28 mpka 40 tuwe wapenzi tuu no ndoa manake sijawaza hlo...
Wakristo Bwana Yesu asifiwe, na Waislam asalaamaleykhum,
Kama nitakuwa nimekosea salamu hizo basi niombe radhi ila natumai nyote kwa ujumla muwazima.
Lengo langu ni kilio changu cha muda mrefu...
Hi to all wana JF, heshima kwenu wanajamvi, i have been single for quite long time now and i came to realize that now its the right time for me to find someone who will be my future father of my...
Natafuta rafiki wa kike ambaye tutashilikiana na na kusaidiana mambo mbalimbali, mrembo huyu ni vizuri asiwe mke wa tu lakini awe na mpenzi mmoja yani mimi niwe wa pili, alafu ni vizuri...
Eeeh Mungu! wenye nia njema na wanione ili wanistiri na mimi!!!!
Napenda kwanza kutoa salaam kwenu nyote.
Jamani nimekuja hapa mbele yenu kwa lengo la kutafuta mwenza ili tustiriane. Najua huwa...
Jaman ni muda sasa niko mbali na home na sitaki mzungu mimi! Pls naomba msichani aliye ndani ya Schengen countries hasa hasa sweden, Norway au Denmark na ufaransa tutafutane angalau tupeane mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.