A serious Man mwenye HIV+ aje hapa tuyajenge.

BITEMO

Member
Joined
May 30, 2015
Posts
73
Reaction score
3
Hello everyone.
Few months ago nilijitokeza hapa nikitafuta mchumba mwenye sifa nilizozitaja hapo lakn walijitokeza watu ambao waliniletea utani mwingi na hatimaye nilikata tamaa lakin kwa sasa najitokeza tena kutafuta mchumba na awe tayari kufanya yafuatayo.

1.kunitumia cheti kinachothibitisha kuwa yeye mwathirika.
2.awe tayari kuongea na kaka yangu before hajaongea na mimi direct.
3.umri kuanzia miaka 25 hadi 35
4.Mkiristo asiye muislam hata kidogo.
5.elimu form four na kuendelea
6.namba moja sio mhimu sana ila iwe ni uhakika kuwa ni HIV postive na awe tayari kupima.

Sitaki utani ,kejeli na matusi kama haujakidhi vigezo usini PM.
 
Nikielekeza mtu vipi? Si utoe hiyo email address!
 
Lengo ni nini? Usije ukawa umepewa masharti na mganga unataka kutoa wenzako kafara
 
Hello everyone.
Few months ago nilijitokeza hapa nikitafuta mchumba mwenye sifa nilizozitaja hapo lakn walijitokeza watu ambao waliniletea utani mwingi na hatimaye nilikata tamaa lakin kwa sasa najitokeza tena kutafuta mchumba na awe tayari kufanya yafuatayo.

1.kunitumia cheti kinachothibitisha kuwa yeye mwathirika.
2.awe tayari kuongea na kaka yangu before hajaongea na mimi direct.
3.umri kuanzia miaka 25 hadi 35
4.Mkiristo asiye muislam hata kidogo.
5.elimu form four na kuendelea
6.namba moja sio mhimu sana ila iwe ni uhakika kuwa ni HIV postive na awe tayari kupima.

Sitaki utani ,kejeli na matusi kama haujakidhi vigezo usini PM.

Mbona hapo unachanganya hueleweki
 
sasa kama mtu anataka kujoin na wewe lakini si muathirika huoni kama humtendei haki coz wapo wanaoishi na waathirika wa vvu lakini wenyewe hawanana vvu/discodant couple..,legeza masharti bwana
 
Back
Top Bottom