Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Majanga, 22 yr,mchumba,kuona,niko chuo kikuu second year,soma dogo wachumba wapo tu,huoni dr slaa ana miaka 62 lakini bado anamchumba? sembuse we miaka 22
 
Sijakuita hapa


Maisha yangu malengo yangu hayakuhusu


Mm sio wewe na ww sio mm

Shame on u
 
mchumba wako yuko shule ya msingi bado
 
Sijakuita hapa


Maisha yangu malengo yangu hayakuhusu


Mm sio wewe na ww sio mm

Shame on u

Wewe Aroon we...soma! Halafu unaposhauriwa na waliokuzidi umri utulie na utafakari ushauri wao.

Masomo na mapenzi havichangamani...chagua moja. Ujue pia siku hizi mapenzi ni gharama.
 
Sijakuita hapa


Maisha yangu malengo yangu hayakuhusu


Mm sio wewe na ww sio mm

Shame on u
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom