Habari zenu marafiki,
Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa nia na madhumuni ni kutafuta marafiki kwa ajili ya kubadilishana nao mawazo ya kimaisha. mimi naishi singida ni mfanya kazi kwenye...
Hi ladies;
Sifa zangu: Ni msomi, mfanyakazi,Mkatoliki,mchaga,umri 30yrs na niko Dsm.
Mwanamke ninayemtaka angalau akidhi vigezo vifuatavyo;
Awe mkatoliki anayependa kusali na mwenye hofu ya...
Habari zenu wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mwanamke wa miaka 26 sasa...natafuta mwenye sofa zifuatazo.
.Mcha Mungu, yaani mwenye hofu ya Mungu, awe mkristo tu.( esp...
mwanaume mwenye mapenz ya dhati anahtajika for long term relationship ila asiwe mwalimu au mwanafunzi this iz serious so kwa maelezo ani Pm tuzingumze wa mkoa wa mbeya iringa na moro watapewa...
Hello JF,
Am 20+ yrs old, 171.2cm tall weighs 68Kg.
Am looking for a serious girlfriend aged between 18 and 21...
You can PM me if your serious...
Just Be Real
Habari ndugu wa Love connect,
Mimi ni kijana wa kiume na niko katika safu hii lengo likiwa ni kutafuta rafiki wa kike ambae atakua mchumba. Awe na sifa hiizi
-Umri usizidi 30.
-Awe...
Habari,
Natafuta mwanamke wa kuoa mwakani,elimu yangu ni shahada ya biashara (uhasibu),naishi Dar umri wangu ni miaka 31.nimtakae awe na miaka 25-33,awe mweupe,asiwe na mtoto,elim shahada,mwenye...
Shikamooni wadau,
Mi kijana wenu nahitaji mwanamke ambaye atakua mjasiriamali,mchakarikaji kama mimi na awe mzuri na mcheshi na asizidi 30, mimi ni mwanafunzi wa Chuo pia Mjasiriamali mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.