Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
12,770
Reaction score
4,656
Hi to all wana JF, heshima kwenu wanajamvi, i have been single for quite long time now and i came to realize that now its the right time for me to find someone who will be my future father of my kids. Mana kuna rafiki yangu yupo humu ndo akanishawishi nijiunge humu ntampata tu. Me ni mwanamke sio mwembamba sio mnene wa wastani kidogo,

Dini - Mkristo

Elimu - Bachelor degree, currently continuing with MA

Umri - 29 - 32yrs

Kabila - Tuaongea kwa mtu ambaye atakuwa serious ana pm

Occupation - Mtumishi wa serikali

Nahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia 30 - 40yrs
Sichagui dini wala kabila, awe amehitimu kuanzia bachelor degree na ni mfanyakazi au mfanyabiashara asiwe mkaa bure.

Endapo nitafanikiwa i will be back for the feedback.
KWA ALIYE SERIOUS ANI PM PLEASE, WATAKAOTUMA PM ZA UTANI SITAJIBU.
 
Aya bi dada mafanikio mema kama hitaji la moyo wako linavyotaka.
 
Mungu akutangulie kwenye maombi yako....
I know how it feel to be without someone to share ideas....
 
Dada vaa vizuri na ujianike..watakuja wingi hadi ukinai na iwapo hatatokea hata mmoja!!! Jua kuna jambo tatizo kubwa lipo. ujaliwe kumpata unayetazamia
 
Dada vaa vizuri na ujianike..watakuja wingi hadi ukinai na iwapo hatatokea hata mmoja!!! Jua kuna jambo tatizo kubwa lipo. ujaliwe kumpata unayetazamia
​mimi sijiuzi ndugu yangu
 
jamani nmependa muandiko wako... ila hapo kwenye umri pamenshinda!!!! hutaki serengeti boy kama zari....
 
Hubagui dini?Utafanywa SEXY TOY soon la kuproduce uncountable kids as suicide bombers(wanaharakati za kuongeza idadi)
 
Du cku hiz mapenz ni shida hadi qualification zinahitajika ila ww upo fair sna hamna working experience natumai utapata graduate wengi all the best diploma chali.
 
THE BIG SHOW kahtaan Kila siku mnaFORCE Kuwa wengi,haya fursa hii hapa(Na vile msivyoamini family planning).
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom