Aliye ndani ya Schengen Countrie anahitajika

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Jaman ni muda sasa niko mbali na home na sitaki mzungu mimi! Pls naomba msichani aliye ndani ya Schengen countries hasa hasa sweden, Norway au Denmark na ufaransa tutafutane angalau tupeane mawazo ya baba na mama!
 
Nami mwenzenu napatikana Finland kwa mdada aliyepo huku please inbox
 
Mawazo ya baba na mama yakoje? Weka vizuri tangazo lako nikuunganishe na mmoja!

Jaman ni muda sasa niko mbali na home na sitaki mzungu mimi! Pls naomba msichani aliye ndani ya Schengen countries hasa hasa sweden, Norway au Denmark na ufaransa tutafutane angalau tupeane mawazo ya baba na mama!
 
Mawazo ya baba na mama yakoje? Weka vizuri tangazo lako nikuunganishe na mmoja!

Kuna watoto huku wamevamia ndiyo maana nikatumia tafsida! Naamini umenielewa mkuu loh niunganishe maana winter ndiyo inaanza hivyo
 
Hahahaha! Kumbe unatafuta kampani ya winter! Nunua wool blanket loh!

Back
Top Bottom