Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
naitwa joh Umri 20 Mkristo Kabila ni mnyaturu Naishi dar tabatasegerea Friend of lowasa/ukawa Mcheshi Mkweli Msafi Nina akili ya maisha Najua kuthamini Nahitaji kupendwa na binti awe na umri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari,natafuta My Eva Tutaekua Mme Na Mke Ktk Mahusiano Ya Muda Mrefu Ilitujuane Tabia Kisha Ndoa,karibuni sana awe tyr kuanza maisha.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Waungwana, Mjumbe hauawi. Nina binamu yangu amabye ni binti mrembo tu, mweupe na umbo lenye afya,hivi karibuni alinidokeza kuwa anahitaji mtu aliye serious kwa mahusiano yatakayopelekea ndoa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
SIFA ZA MTAFUTA MCHUMBA >Mweusi >Mnene wastani >Urefu ni 158cm >Mkristo >Mtumishi wa serikali >Naishi morogoro >Umri 30 SIFA ZA MCHUMBA ANAYETAFUTWA >Mweupe wa asili au maji ya kunde >Umbo la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
natafuta rafiki wa kike, asizidi miaka 27 asipungue miaka 23, awe mkristo mwenye hofu ya Mungu ndani yake, itapendeza kama atakuwa mikoa ya DSM, pwani au Moro, awe na mtizamo chanya wa kimaisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kunywa Mtori kwanza nyama zipo chini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1/ Awe na elimu angalau Advance level 2/ Umri usiozidi 25 3/ Awe white mwenye mvuto na anayejikubali 4/ /Awe na umbo la kawaida asiwe mnene wala mwembamba 6/ Awe na nidhamu na heshima kwa kila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mchumba wa kumuoa,narudia tena natafuta mchumba wa kumuoa kama tukikubaliana,umri usiozidi miaka 22,asiwe mnene na mwembamba sana,kama haupo serious usijaribu kuni Pm,mimi ni mtumishi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi Jf, i am Tanzanian Man Aged 32, a degree holder looking for a woman who will marry me next year. So the one who will meet my favourable demand, aged 20-28, atleast bachelor degree, who don't av...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kabila:lolote umri:18-26 kazi:yoyote ya halali asiwe mfupi sana rangi:yoyote) mawasiliano:ni pm ahsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Helow wakuu, Mimi ni mwanaume ninaejitegemea natafuta mwanamke kwa ajili ya kufarijiana tu yaan ambaye nikimuhitaji wakati wowote isipokua wa kazini awe tayari awe ana uwezo wa kujitegemea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu,mimi Mwanaume Natafuta Mke Wakuoa Mwenye Sifa Bora,asie Kua Na Mtoto,mweupe,elimu Dgree Ya Pili,mwenye Hofu Ya Mungu Kisawasawa,awe Mwajiriwa Au Kujiajiri Umri Miaka28-34,anaejua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndo ilivyo; * Mimi ni kijana wa miaka kati ya 30 na 25 ; ni mwenyeji wa kanda ya kaskazini * Pia ni mwajiriwa katika taasisi flani * Nina diploma ya ualimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu shule ya msingi umri wangu ni miaka 26 na nafanya kazi wilaya ya Ulanga (MOROGORO) nahitaji mchumba awe na umri:20-23,awe mkristo,awe na mwili wa wastani,awe anajishughulisha si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni kwa mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo na aliyetayari kuwa kwenye mahusiano anitafute, mnene, mpole, mkweli, muwazi. Kama yupo anitumie Email kupitia imani.mangowi@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Hey guys, I would love to have a female chatmate, Iam a 25 year old male, Tanzanian living in Beijing Contacts +8618640590870 Thanks
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Umri wangu 28 mkristo, mwajiriwa serkaln, natafuta mume alie nawatoto pia tujenge familia, hata asiye na uwezo wakupata watoto. Wanangu nina uwezo wakuwahudumia usihofu, ila upweke ndo...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Mimi Ni Mwanaume Naish Dar Natafuta Mwanamke Wa kumuoa.Awe Tayari Kunitafutia Kazi Kwn Na Stashada,kunilipia Ada Npo Chuo Kikuu Mwaka Wa Pili,sina Ubaguz Wa Kabila,rangi,dini,elimu.Kwa Maelezo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
20 to 24 yrs prefferably a university graduate
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Love is a beautiful thing as much as it hurts but its worth it when you have the right person to share with and I'm talking about everything that comes with it the whole package the laughter, the...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom