Nahitaji kupendwa na mwenye hofu ya Mungu

Nahitaji kupendwa na mwenye hofu ya Mungu

niceone

Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
49
Reaction score
4
Wakristo Bwana Yesu asifiwe, na Waislam asalaamaleykhum,

Kama nitakuwa nimekosea salamu hizo basi niombe radhi ila natumai nyote kwa ujumla muwazima.

Lengo langu ni kilio changu cha muda mrefu na ninatumai mwanamke wa kuoa hapatikani kanisani au msikitini au njiani au club ila hupatikana kwa kipindi ambacho Mungu mwenyewe aamuapo kutokana na mazingira ya maombi yako na hapo ndipo atakapo tokea huyo wa moyo wako.

Sasa basi nimekuja kwako wewe ambaye utakuwa mtarajiwa wangu kama Mungu atakavyoongea na moyo wako kuungana nami, kwanza uwe mcha Mungu, pili uwe na muonekano wa kunipenda mimi na si mwingine na tatu unipende kama nilivyo na pia umpende Mungu wangu aliyenifanya hata wewe kunisoma kupitia sms na kuhusu kiuchumi na uzuri natumai Mungu atakuwa kakubariki maana vyote vyatoka kwake na ninatumai mimi Mungu hajaniumba vibaya ila utanifurahia tu.

Haijalishwi ulizalishwa ukaachwa mimi kwangu si sababu ninachotaka ni pendo lako kuu kwangu na Mungu wa Mbinguni atafanya njia katika yote uliyopitia na kutengeneza page mpya. Kuhusu umri utafahamu zaidi utakapo kuwa nami ila kwa sasa ombi langu ni hilo.

Karibu sana 0714255432 nakupenda mtarajiwa wangu
 
Mmmh hili somo la kujiamini sijui liko wapi siku hizi!
 
Umri kwanza, wengine wana alegi na serengeti boys.
 
Mtumishi hebu elezea hali yako kiuchumi jinsi Mungu alivyokubariki hadi ukaweza kutafuta mke, aimeeeen.
 
Umri kwanza, wengine wana alegi na serengeti boys.

umri utauelewa zaidi utakapo kuja maana kuna watu wanaweza kukufanya mzee ikiwa wewe ni kijana hivyo kuna vitu personal ambavyo ni lazima vihusike na muhusika Moja kwa Moja karibu sana.
 
umri utauelewa zaidi utakapo kuja maana kuna watu wanaweza kukufanya mzee ikiwa wewe ni kijana hivyo kuna vitu personal ambavyo ni lazima vihusike na muhusika Moja kwa Moja karibu sana.

Nitakapokuja wapi mtumishi?
Ubarikiwe sana.
 
Mtumishi hebu elezea hali yako kiuchumi jinsi Mungu alivyokubariki hadi ukaweza kutafuta mke, aimeeeen.

atakaye kuwa nami atakuja kuwasimulia hali yangu ya kiuchumi jinsi nilivyo nataka yeye aje kuwapa ushuhuda na ushuhuda WANGU wa kwanza nataka nimpe yeye na wengine watafuata ndugu
 
Sawa mtumishi, naona una hekima kama za Solomon. Mungu na akupe hitaji la moyo wako.

hekima na maarifa ni kitu pekee ambacho chaweza kumfanya mtu kuinuliwa toka chini na kumketisha na wakuu, pitia historia ya suleman kama utapata muda mamii then utathibisha nisemacho mamii.
 
Back
Top Bottom