Nimekubali kuoa

Nimekubali kuoa

Nkurukumbi

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
196
Reaction score
78
Nilitendwa sana nikawachukia wanawake nikaapa sitaoa tena. Lakini kutokana na mastress ya maisha, kazi na ushauri wa ndugu, jamaa na marafiki nimeona nimtafute wa kumuoa kwa kuanzia hapa jamii forums. awe na umri 28 kwenda chini, elimu ya chuo chochote, awe Dar es salaam au mikoa jirani. aliye tayari njoo pm.
 
Kuolewa na mtu aliyejenga negativity juu ya jinsia ya kike ni kujifukia ndani ya kaburi
 
ulishawahi kuoa??? una watoto wangapi? umri wako??? umefanya kazi kwa miaka mingapi?
 
Nilitendwa sana nikawachukia wanawake nikaapa sitaoa tena. Lakini kutokana na mastress ya maisha, kazi na ushauri wa ndugu, jamaa na marafiki nimeona nimtafute wa kumuoa kwa kuanzia hapa jamii forums. awe na umri 28 kwenda chini, elimu ya chuo chochote, awe Dar es salaam au mikoa jirani. aliye tayari njoo pm.

Hatuna tofauti. Ila mie tayari na naenjoy kabisa japo uvumilivu ni muhimu.
 
Kila la heri, ila jichanganye sehemu mbalimbali. Mfano kwa semina za vijana zinazofanyika maeneo hayo, nyumba za Ibada, etc
 
Achana na kauli ya kutokuwa na imani na wanawake wengi tumetendwa but tunaamini watu hawafanani tabia ndo maana tunasonga mbele
 
Ushauri. ...humu hamna mke wako majeruhi wa mapenzi alafu. Milllage zimeenda mbayaa
 
Ili upate mke unatakiwa uwe na upendo kwa hiyo jinsia bila hvo akikukosea kidogo 2 utasema ndomaana nawachukia wanawake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom