Love is a beautiful thing as much as it hurts but its worth it when you have the right person to share with and I'm talking about everything that comes with it the whole package the laughter, the...
Habarini!
Natafuta marafiki wa jinsia zote!
Walio komaa kibiashara na ujasiria mali
Wawe na wasifa angalau huu hapa;
i> Aliepitia changamoto za kupanda na kushuka kibiashara
ii> Ambae...
Habarini wapendwa.
Natumaini nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila uchwao.
Lengo la kuja kwenu humu ni kama heading inavyojieleza hapo juu.
Kifupi mimi ni kijana...
Nahitaji mke tushiriki kustragle pamoja,yani tuanze ote,mwanzo mgumu ila mambo yatajipa tukikomaa, nina 29 yrs, nahitaji mke mwenye sifa zifuatazo,mweye upendo,awe mkristu ingawa pia na asie...
Hi ! kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji sana mwanamke mwenye maumbile makubwa, awe mnene kiasi, maziwa makubwa, matako makubwa.
Mimi nipo Dar na kwa mawasiliano zaidi ni...
Habari?
Mimi ni kijana wa miaka 32 sijawahi kufanya mapenzi tangu kubalehe kwangu, nahitaji msichana mkristo safi mwenye kumuogopa Mungu, umri si zaidi ya 30, ambaye atakuwa wa kwanza na wa...
Mimi Ni Mwanaume Natafuta Mke Wa Kuoa,umr Wangu Ni Miaka 26,naishi Dar.Mke Ninae Mwitaji Awe Na Umri Wa Miaka 24-31,mweupe Asiwe Wa Dukani,mrefu Kias Kwn Mimi Ni Mfupi Kias Mwembamba.Kwa...
Habari wadau, mimi ni mwanaume wa miaka 43 na hitaji mwanamke wa kuzaa nae tu bila kuoana na kumtunza yeye na wanangu hao ikiwemo kumjengea nyumba.
sifa:~
1.awe mha
2.mwalimu wa shule ya...
Umri wangu miaka30,makazi yangu Dar,dini ni mkristo,sijaajiriwa(sina kazi)naahidi kumpenda kwa dhati atakayenipenda,pia niko tayari kuishi popote pale ndani ya Tanzania,hakuna mashariti njoo...
Hii,
Ni kwa msichana yoyote mwenye age ya 19 hadi 23, mweupe, mkristo, mpole, elimu form 4 inatoka, asiwe mvivu awe na huruma, heshima na adabu aje tufanye maisha asiigize,asiwe na tamaa awe...
Habarini za muda huu wana Jf,
Uzi huu unawahusu wadada wote,kuna biashara nzuri tu yenye msingi mdogo ila inalipa sana.
If interest pm me nitakujibu only for those in Dar es salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.