Natafuta rafiki wa kike ambaye tutashilikiana na na kusaidiana mambo mbalimbali, mrembo huyu ni vizuri asiwe mke wa tu lakini awe na mpenzi mmoja yani mimi niwe wa pili, alafu ni vizuri akanitambulisha kwa huyo mpenzi wake ili niwe namuheshim, lengo langu ni urafiki udumu akinunua simu yeye mimi nitakuwa nanunua vocha ili usimchoshe anunue simu na vocha ajaze yeye? Akinunua nguo mimi nanunua viatu, ili tusichoshane mapema.
Alietayali anitafute
Alietayali anitafute