Partner wa kusafiri nae

Salama Jay

Senior Member
Oct 24, 2013
131
68
Habari za saa hivi wanaJF,

Let me go straight to my point, mimi ni msichana single 25 this year, napenda sana kusafiri kuliko maelezo, yani for leisure na adventure kipato changu ni cha kawaida but I can afford vitu vidogo vidogo.

I plan to travel mwezi wa 6 au 7 kuelekea Nairobi so I need mtu wa kusafiri nae either male au female ila asiwe mzigo,aweze kujilipia expenses za hapa na pale yani iwe half kama tutatumia 4million basi iwe 2m per person.

Anyone interested nicheck inbox

N:B usiwe mtu wa mood swings,it kills the fun.
 
Habari za saa hivi wanajf...let me go straight to my point..!mimi ni msichana single 25 this year..napenda sana kusafiri kuliko maelezo..yaani for leisure na adventure..kipato changu ni cha kawaida but I can afford vitu vidogo vidogo.!I plan to travel mwezi wa 6 au 7 kuelekea Nairobi.!so I need mtu wa kusafiri nae either male au female ila asiwe mzigo,aweze kujilipia expenses za hapa na pale yaani iwe half half..kama tutatumia 4million basi iwe 2m per person..anyone interested nicheck inbox!N:B usiwe mtu wa mood swings,it kills the fun!

Nitafute tudakane juu kwa juu maana mimi nipo kwenye mizunguko.
 
Habari za saa hivi wanajf...let me go straight to my point..!mimi ni msichana single 25 this year..napenda sana kusafiri kuliko maelezo..yaani for leisure na adventure..kipato changu ni cha kawaida but I can afford vitu vidogo vidogo.!I plan to travel mwezi wa 6 au 7 kuelekea Nairobi.!so I need mtu wa kusafiri nae either male au female ila asiwe mzigo,aweze kujilipia expenses za hapa na pale yaani iwe half half..kama tutatumia 4million basi iwe 2m per person..anyone interested nicheck inbox!N:B usiwe mtu wa mood swings,it kills the fun!
Mkuu mimi ntagharamia malazi tu.....
 
Tangazo zuri... ila hapo kwenye Gharama utawakosa wengi... labda uwende na mwanamke mwenzako.. kama ni mwanaume itabidi akubebe kwenye kila kitu...
 
Ukienda inbox utaambiwa tuma picha wasapu kama hauna mvuto inakula kwako (joking)

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kweli upweke ni tatizo linalozidi kutamalaki aiseeee......
Upweke kwa kina dada ni janga, na hii yote ni kwa sababu wengine hujifanya matawi ya juu hawajichanganyi, wengine dini zimekolea, wengine kujifanya wako bize na kitabu!
Ukicheza karata zako fresh unaweza ibuka na wengi sana ukala mzigo, ila ni ving'amg'anizi bala, wakikuganda ni kama luba.
Pia wapo kwa sana makanisani na wale wa kuvaa kininja.
 
Kweli aise
 
Back
Top Bottom