Natafuta mchumba wa kike 18-25 yrs

Natafuta mchumba wa kike 18-25 yrs

Mai-Ndombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
542
Reaction score
835
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, nafanya kazi Sirari mkoa wa Mara. Natafuta mchumba wa kuoa hata kesho,awe na umri wa miaka 18-25 ila sijatahiriwa.

Aliyetayari ani pm tupeane contacts kwa mawasiliano zaidi.

Ahsante.
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28,nafanya kazi sirari mkoa wa mara.Natafuta mchumba wa kuoa hata kesho,awe na umri wa miaka 18-25 ila sijatahiriwa.

Aliyetayari ani pm tupeane contacts kwa mawasiliano zaidi.
Ahsante.
Uwiii mpaka leo hujakatwa nanilii??sheeedraa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom