Nahitaji Mwanamke Wa Kuishi Naye

Nahitaji Mwanamke Wa Kuishi Naye

Joined
Jun 19, 2015
Posts
27
Reaction score
4
Nimechoshwa Na Upweke, Nimechoka Kutapeliwa, Naomba Nifunguke Kwako Juu Ya Moyo Wangu Japo Sina Mali Japo Sina Mahari Na Sijapata Mpenzi.
Kuhusu Maisha Yangu... Mimi Sina Ajira Yoyote Zaidi Ya Kuhaso Kila Asubuhi Kutafuta Riziki.
Nimepanga Mwenyewe Mjini/ Dar,
Umri Wangu Miaka 24.
Asili Yangu Muha/ Kigoma.

VIGEZO
Nahitaji Mwanamke Ambaye Hanizidi.
Sijajiandaa Kulea Watoto Ambao Amezalishwa Na Wengine.
Mwanamke Awe Mstaarabu/ Nitaamua Juu Yake Nikikutana Naye Uso Kwa Uso.
Asiwe Tegemezi.
Awe Anayejituma.
Asiwe Nje Ya Dar Na Akiwa Nje Ya Dar Sitahangaika Naye Kwenye Suala La Nauli.
Muha Na Mkristo/msabato Wana Kipaumbele Zaidi Kwangu.

Mawasiliano Ni 0714687581 Lakini Itakuwa Bora Zaidi Tukikutana Fb Kwanza, Nitafute NTAKILUTA NDATO NTALAMUKE au ODO GIBUSON NTALAMUKE.

Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom