Unasimamia vigezo vyako?

Unasimamia vigezo vyako?

Igunga leo

Senior Member
Joined
Nov 19, 2016
Posts
114
Reaction score
217
Wadau wa jukwaa hili napenda kujua machache kwa wale waliopata wenza wao kupitia jukwaa hili!

Ulimpata ambaye alikidhi vigezo vyako vyote au uliamua kukubaliana kwa kuwa ameonesha nia?

Kwa wadada kwa wale walio simamia kigezo cha kutosex mpaka ndoa je mlifanikiwa ?

Na mwisho mbona post ni nyingi za kutafuta lkn za mrejesho ni chache?

Naomba nisaidiwe uzoefu kwa kujibiwa maswali yangu hayo.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Mkuu ukitaka kupata majibu tupiamo katangazo kako kenye vigezo hivyo utapata majibu.

Kuhusu mrejesho mbona wengi tu wanaleta
 
Hili limekuwa tatizo kabisaa...MTU anajibu swali kwa swali.
 
Back
Top Bottom