Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,197
Wanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi..
Ungejua Kazi anayopata mwanaume mpaka awe na Six Packs ungeamini maneno yangu..
Ni Kama vile mwanaume kuwa na mwanamke anayeongeza Makalio. Mwanamke akiongeza makalio maana yake anataka kuvutia wanaume wengi.. Hawezi mwanamke kukubali kupata shida zote zile za kuongea makalio (ana risk ya kupata hata Cancer) ili awe na ww peke yako.. Kitu kama hicho hakuna..