Habari zenu wadau,
Nimekuja kwenu mara nyingine, rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia nitampenda na kumlinda, sifa zangu umri 25, mkristo, kazi nafanya kazi ya...
Habari za majukumu wana JF,
Natafuta mwanamke aje kuwa mke kama tutaridhiana.
Sifa;
Elimu form4 au zaidi au ajue kusoma na kuandika
Maji ya kunde au mweupe kiasi
Mkristo
Umri 20-25
Awe hujawahi...
Habari,
Nilipitia maumivu makali sasa nimepona na nimeamua kurudi kwenye game,
Nina 30 years old
Nina degree
Sijaariwa ila nimejiajiri(sipendi kuajiriwa)
Nina kipato cha kutosha watu wawili...
Natumain mpo wazima ndugu na jamaa kama kichwa cha hii topic kinavyojieleza hapo juu
Mm ni kijana wa kiume natafuta rafiki wa kike kwajiri ya kubadilishana mawazo
Kwa yeyeto ataevutiwa na hili...
Namnukuu alipoulizwa na baba, mbona uoi umri unaenda? akajibu bado natafta mwanamke mweny sifa zifuatazo;
1. Umri usizidi 27
2. Awe anasoma (last yaear) au amesoma na kuajiriwa kada za afya...
Wakuu habarini za jioni,
Mimi ni mwanaume umri wangu miaka 32, ninahitaji mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 24 mpaka 31. Kabila lolote isipokua Mzaramo, Mkwere na Mbulu.
Kwa alietayari karibu...
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa mweupe mkristo
Mrefu. Nahitaji mke awe mwenye elimu yeyote ile asiwe pimbi portable mwenye uhitaji kama wangu ani PM au ani tumie SMS 0713984163
Sent using...
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi,
Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu.
Umri wangu : 28
Elimu: Bachelor degree...
Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke.
Sifa;
-Ajiamini,
-Umri 28-35,
-Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha.
-Awe amejiajiri au ameajiliwa...
Salaam wandugu nmechoka kuwa lonely na nnaona huu ni muda muafaka wa mm kuwa na familia so natafuta mwanaume alie serious na alie na uhitaji kama wangu
-Nna 28yrs
-Black in colour
-Ni mkristo...
Naitwa Josephine kabila langu ni Mhaya, nimemaliza chuo nimejiajiri natafuta mwanaume awe na umri kati ya 30 kuendelea mi nina 25.
Jamani nipo serious sihitaji mzaha.
Sent using Jamii Forums...
Heshima yenu wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, NATAFUTA RAFIKI WA KIKE lengo aje kuwa mke baadae, awe na sifa hizi.
■understanding
■knowledgable
■umri 23-27years
■Mkristo...
Saleh Ramadhani umri wangu miaka 26 naishi Dar Gongo la Mboto nina mtoto 1 natafuna mpenzi/mwanamke mwenye mtoto awe na umri 18-26, mimi ni mjasiriamali nimejiajiri kwa aliyetayari tuwasiliane kwa...
Natoa ushuhuda wa kutolewa knock out na binti mdogo kabsaaaa pamoja na kwamba nilimwomba japo nimzame chumvini tu ila tutafanya cku nyingine kwa matumaini ya kumlegeza lakini wapi, niliambulia...
Kama kichwa kinavyojieleza.
Wasifu wangu
jinsia: Mwanaume, Umri miaka 32, Elimu: Diploma, Kipato: cha Chini, halali. Ajira: binafsi. Makazi: Njombe, ila safari Iringa, Moro, Dar mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.