Habari,
Natafuta rafiki wa kike wakushare nae idea pamoja na changamoto za kimasomo umri 18-21 Itapendeza pia mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu chuo fulani.
Karibu Pm
Yaan huu mtandao ni watu wa kupenda siri kama Freemasons vile, jina fake, picha fake hata nikiuliza makazi lazima nitapewa fake tu! mna siri gan nyinyi?
*HAYA LEO NAOMBA KUWAJUA WA MKOA WA...
Somo lajieleza
Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 31
Nishawahi kuoa na kupata mtoto mmoja kwenye ndoa,lakn ndoa yetu haikua riziki mwenza wangu aliipenda michepuko.
Ni mwajiriwa pia...
Habari za hapa,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48, nina urefu wa futi 5 na inchi 7, rangi yangu maji ya kunde umbo slim body.
Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa maisha yangu nina nia ya...
Habari za majukumu ndugu na jamaa zangu. Mimi mzima wa afya, jamani kwa wanaoishi Tabora wilaya ya Nzega au wilaya ya Igunga.
Natafuta mpenzi; sifa, awe mrefu rangi sibagui awe na miaka kuanzia...
Iam Tanzaniam male with 30 years, am here looking for a soul mate, a girl with matured age na anayejua what is life, ata hasipokuwa na kazi ili mradi awe serious naimani tukiwa wawili maisha...
Habari tena wana jf,
Narudi kwa Mara nyingine Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa serikalini mweups,mrefu, mkristo
Naitaji mchumba awe mrefu portable sio mnene sana mcha Mungu ,mkristo
Aliye...
Natafuta mchumba wa kuoa umri 18 mpaka 23 dini Islam au awe tayari kubadili elimu yeyote kazi yeyote, mimi kazi yangu mjasiriamali mdogo, nipo kijijini na awe tayari kuishi huku.
Mawasiliano...
Silvester Niko Dar natafuta mchumba, umri wangu ni miaka 29, mchumba ninaemtafuta awe mkweli na mwelewa na awe na shepu, mimi ni mjasiliamali naitaji mchumba ili tusaidiane maisha sitanii ni kwl...
Hello my people how are you. I do believe that one can get a husband or wife anywhere as long as they have the same commonalities. That being the case I Binti Mimi is searching for my soul mate to...
Mke anahitajika popote alipo.
Nina umri wa miaka 28, nina mtoto mmoja, mama yake hajafa yupo hai ila ni dini tu ndo imetufanya tusiwe pamoja. Mimi ni mfanyabiashara, kuhusu elimu nina degree ya...
Nimekuwa nikipitia posts nyingi humu JF, hasa katika jukwaa la Love Connect, wanawake wengi wanaotafuta wanaume wa kuwaoa, kwa kweli nimegundua kuwa wengi wao hawako very serious na kile ambacho...
Habari wana familia..Niende kwenye JIPU MOJA KWA MOJA.
KUNA KATABIA Nimejaribu kukachunguza cha wanawake wengi pale wanapoalikwa "DATE" na wanaume huwa inapokuja muda wa CHAKULA wanawake...
Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Sihitaji ndoa (stress tupu)[emoji57]
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuamua...
Awe na umri kati ya miaka 21-26,mkristo wa kanisa katoliki, elimu yoyote, awe tayari kuolewa, mwenye ajira hata asiyeajiriwa, kabila lolote ili mradi ana maadili mema, niko tayari kuoa, mi...
Wakuu habari za mihangaiko ya kutwa nzima.
Napenda kuwasilisha mada yangu hapa mezani lengo lango niko serious kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.....
Ni kijana mwenye umri wa miaka...
Mm ni mtu wa over 40 yrs natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi pia, sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
Natumai muwazima wote . Kwanza naomba nitangulize shukurani za kusoma hii Thread yangu.
Mimi ni mwanamke umri 25-30 . Natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa katika mahusiano ya kiuchumba...
Namsaka mwanamke ambaye anatumia mafuta ya kawaida kama rays,baby care au anayepaka parachichi usoni ama mafuta ya asili kama nazi.je mchina alivyojaa nitampata kweli mabinti wa kibongo,kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.