Mwanamke single mwenye hofu ya Mungu ambae yupo tayari kuolewa

kideko

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
296
217
Wakuu habarini za jioni,

Mimi ni mwanaume umri wangu miaka 32, ninahitaji mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 24 mpaka 31. Kabila lolote isipokua Mzaramo, Mkwere na Mbulu.

Kwa alietayari karibu Pm. Tupange maisha.
 
Wakuu habarini za jioni, Mimi ni mwanaume umri wangu miaka 32, ninahitaji mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 24 mpaka 31. Kabila lolote isipokua Mzaramo, Mkwere na Mbulu. Kwa alietayari karibu Pm. Tupange maisha.
Hapo kazi, anyway utapata, ila bado siamini wala kukubali, dini au ukabila iwe chanzo cha wewe kutokuowa hao wengine usiowataka, ila mke ni wako na uko huru kuamua umtakae
 
Wakuu habarini za jioni,

Mimi ni mwanaume umri wangu miaka 32, ninahitaji mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 24 mpaka 31. Kabila lolote isipokua Mzaramo, Mkwere na Mbulu.

Kwa alietayari karibu Pm. Tupange maisha.
Acha ukabila
 
mi nina miaka 31 kama utapenda nitafute
 
Wakuu habarini za jioni,

Mimi ni mwanaume umri wangu miaka 32, ninahitaji mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 24 mpaka 31. Kabila lolote isipokua Mzaramo, Mkwere na Mbulu.

Kwa alietayari karibu Pm. Tupange maisha.
Sio ukabila Mkuu mke ni chaguo. Hata wewe unaeza ukachagua Kabila lako unalopenda.
mi nina hofu ya Mungu. nina miaka 31
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom