Nahitaji rafiki wa kike, hii inaweza isilete maana nzuri kwamba pengine sipo serious, ila kuna wakati unajikuta hauna neno jingine la kusema zaidi ya hilo.
And this is very serious, tangu...
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni Dr
Nimeajiriwa, mweupe ,sio mnene
Mrefu, mkristo
Naitaji mke asiwe awe angalau amefika form six asiwe mwembamba Sana mkristo, mwaminifuu unaweza uka ni DM au my...
Habari ya muda huu wakubwa..!!
Kama nilivyo anza juu hapo mimi natafuta rafiki wa kike yani/ girlfriend..!! Binafsi Umri wangu 24..!! Vigezo mwanamke awe na upendo wa kweli..!! Npo serious...
Naomba tupeane uzoefu wa jinsi hali inavyokuwa unavyojua na kujihakikishia kuwa mwenzio (mke/mume/mpenzi) kachepuka uchungu na uzito tunao lipa tatizo hili huwa ni sawa kwa wanaume na wanawake...
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.
Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.
Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi...
Mimi ni kijana wa miaka 29.
Mwajiriwa.
Nahitaji mwanamke wa kuoa.
Dini yeyote.
Awe na umri kuanzia 20-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha 4 kuendelea.
Asiye na kazi ya kumuongezea kipato atapewa...
Hbr wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30, mhitimu wa chuo kikuu na nimejiriwa ofisi moja hapa Dsm.
Natafuta binti wa kuoa...
Muhimu : awe msabato / ajiandae kubadili dini kua msabato.
Sifa za...
Im 27,ninahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa,,awe tayari kunipenda,,sifa zangu,urefu mrefu wastani,maji ya kunde,kipato cha kawaida tu and nafanya kazi serikalini,,,,,natafuta mke aliye tayari...
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimetoka kumaliza chuo kikuu kimojawapo hapa DSM, kwasasa nafanya shughuli zangu
binafsi ambazo zinaendana na fani niliyosomea chuoni...
Mimi ni mama ninaetafuta mwenza wa kuishi nae.
Mimi ni mfanyabiashara na mkulima. Nina elimu ya chuo. Ni mcha Mungu.
Natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati. Sichagui dini,kabila,elimu etc...
Husika na kichwa cha barua hapo juu,
Sifa za mke.
-Umri miaka 26-30
-Maji ya kunde au mweupe
-Elimu kuanzia diploma
-Ajue kupika
-Mwenye msambwanda atafikiliwa zaidi
Sifa zangu.
- Miaka 32
-...
Edward Niko dar umri 28, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae kwa atakaekuwa tyr anitafute kwa namba hii 0746802325.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji mrembo mweusi mwenye mvuto ili awe mpnz na baadae awe mke.dini awe muislam lkn kabila lolote. Atakaekua tayari anicheki watsaap--0752924807. NO JOKES AM SIRIOUS
Sent using Jamii Forums...
Habari zenu wapendwa wa MMU,
Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata...
Am a girl of 25 years of age searching for a single parent (i.e a man who has a child but not married) to be my husband. I am a christian by faith with a bachelor degree in education, not yet...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu awe na umri kuanzia miaka 22 mpaka 28 elimu kidato cha nne kuendelea dini mkristo aliye tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.