Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 742
Namnukuu alipoulizwa na baba, mbona uoi umri unaenda? akajibu bado natafta mwanamke mweny sifa zifuatazo;
1. Umri usizidi 27
2. Awe anasoma (last yaear) au amesoma na kuajiriwa kada za afya (kipaumbele) au ualimu
3. Awe bikra in naturality
4. Asiwe mweupe sana
5 Awe muislam
* nimeona nimsaidie kutafta, alietayar kwa kua na vigezo au kukaribiana navyo nafasi ni yake*