Natafuta mwanamke

J23

Senior Member
Nov 11, 2016
122
130
Habari za majukumu wana JF,

Natafuta mwanamke aje kuwa mke kama tutaridhiana.

Sifa;
Elimu form4 au zaidi au ajue kusoma na kuandika
Maji ya kunde au mweupe kiasi
Mkristo
Umri 20-25
Awe hujawahi olewa na kuzaa
Awe na akili ya kimaisha.
Awe na sura ya kike na mcheshi kidogo.
Awe tayari kuishi maisha ya kawaida.

Sifa zangu;
Age 28
Nafanya kazi private sector
Naishi TMK.

Karibu PM mrembo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom