Kwa mwanaume alie na utayari wa kuwa na familia

venuss

Senior Member
Jul 2, 2016
116
291
Salaam wandugu nmechoka kuwa lonely na nnaona huu ni muda muafaka wa mm kuwa na familia so natafuta mwanaume alie serious na alie na uhitaji kama wangu

-Nna 28yrs
-Black in colour
-Ni mkristo
-Nimeajiriwa

Sifa za mwanaume

-Awe ni Christian

-Mwenye kipato chake

-Itakua vizuri akiwa anapatika
morogoro au dar es salaam

-Awe kweli yupo seriouse

-Umri kuanzia 30

KARIBUNI!
 
Shida ni hiyo mnayosema aliyesirias halafu mnaweka vigezo. Si mngekuwa mnaandika vigezo pekee, maana kuna walioserious kweli halafu masharti yanawashinda. MUME/MKE HACHAGULIWI KAMA AINA YA NGUO MTUMBANI
Ili uishi kwa amani lazima uwe na vigezo vyako, hakuna anae ishi hivi hivi
 
Shida ni hiyo mnayosema aliyesirias halafu mnaweka vigezo. Si mngekuwa mnaandika vigezo pekee, maana kuna walioserious kweli halafu masharti yanawashinda. MUME/MKE HACHAGULIWI KAMA AINA YA NGUO MTUMBANI
Mashart yake mbona ya kiutuuzima tu jaman... Sio wale wanaosema awe mref , mweupe, msafi, na maupuuz mengine.... Uyu yuko vizur.. Dini ni muimu na kipato ni muimu. Utapata mamy mtangulize mungu
 
Mashart yake mbona ya kiutuuzima tu jaman... Sio wale wanaosema awe mref , mweupe, msafi, na maupuuz mengine.... Uyu yuko vizur.. Dini ni muimu na kipato ni muimu. Utapata mamy mtangulize mungu
Asante penye nia Mungu ataweka njia
 
KAZI KWELI KWELI,,,WAKT WENGINE WANAKIMBIA NDOA BASI WENGINE WANAINGIA KATIKA NDOA....MUNGU AKUPATIE MUME MWEMA,ILA UMTII AISEEE,UKIMDHARAU UJUE IMEKULA KWAKO.....
 
Uwe mweusi na kauzuri kidogo, na msambwanda wa kawaida. Tutafutane next 2yrs nitakuwa nmetimiza kigezo cha umri....kuhusu kipato don't worry...aliyeumba hajakosea anajua hawezi kutanisha watu ambao wamekamilika...ana makusudi yake, leo mwala kipato cha mke, kesho mwala kipato cha mume.....

Utafutaji mwema!, hapo moro nitapita kila shirika kuzungumza na wanawake ambao hawajaolewa ili tutafute tatizo lilipo......
 
Back
Top Bottom