Habari zenu natafuta mchumba nimechoka upweke from 25-35 female.
Mimi ni mwanaume nina miaka30 kwa walioserious tu nakuruhusu kuja pm.Mengine tutadiscuss.
Thanks in advance.
Sent using Jamii...
Habari zenu waungwana mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke awe na elimu kuanzia kidato cha nne umri kuanzia miaka 23 aliye interest tuwasiliane pm...
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta mchumba wa kike wa kuoa awe na umri wa miaka 24-26 elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea aliye interested tuwasiliane pm
Mwanamke aliye na mapenzi ya dhati,mcha Mungu(muislam),mtafutaji,elimu level yoyote kuanzia ngazi ya secondary,kama ana kazi ni added advantage,mm ni muajiliwa serikalini nna ishi nje kdgo ya jiji...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31nimeajiliwa serikalini nipo Dar natafuta mchumba wa kike kwa ajili ya kuoa hapo baadae awe na umri 24 -26 elimu kidato cha nne kuendelea, aliye interested tuwasiliane pm.
Naitwa karry,nna miaka 23,binti wa kitanzania mwenye rangi ya maji ya kunde na urefu wa fut 5...nywele urefu wa mabega, si mnene wala mwembamba, sio mrembo lakini navutia,sina mpenz wala...
Acheni utani kueni serious, wengine ni kweli wanatafuta wenza na marafiki wengine wanafanya utani acheni jamani kuna watu wanashida kweli.
Post sent using JamiiForums mobile app
Serious please.
Age: 21-26.
Education: Not necessary.
Tribe: Any.
Marital status: Any.
*ADDITIONAL QUALIFICATIONS:*
Uwe mfupi au mrefu kiasi. Usiwe na mtoto, na kama unaye, basi mmoja na si...
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke...
Nina umri wa miaka 23.
Kazi yangu mfugaji nipo Bariadi.
Elimu yangu darasa la saba..lakini sitofautiani na mwenye PHD.
Dini yangu mkristo.
Kijana mrefu mweusi kiasi.
Kabila langu msukuma wa...
Mimi ni kijana mwenye umri 25 ninapenda Sana nipate mwanamke ambaye yupo tayari kuwa na Mm
Mm ni mwajiriwa
Kuhusu dini sichagui dini wala kabila umri kuanzia miaka 18 mpaka22 Uko tayari nipm...
Habari za usiku huu wana JF,
Tangu nijiunge na JF nimebahatika kuona thread kadhaa za wanaume walioleta mrejesho baada ya kutangaza kutafuta mke japo wengine wamepotea bila kurudi lakini miongoni...
Habari wanajanvi,
Namkaribisha Pm mwanamke aliyetayari kwa moyo wake wote na siyo kwa kujaribu, awe mweupe wastani, mrefu, mwembamba na elimu kuanzia form six na kuendelea. Sifa zangu mimi ni...
Naitwa Loveness Senzigwa nipo Usariver Arusha nahitaji nipate mchumba mwenye upendo wa dhati, nipo na mtoto mmoja wa kiume umri wake miaka minne, nahitaji mwenza tuweze kuanza maisha dini awe...
Naitwa Selemani niko Dar umri miaka 26 natafuta mchumba awe mfupi kidogo, mnene kidogo, mweupe au maji ya kunde na awe mwelewa na mkweli.
Tuwasiliane kwa namba hii 0717188605.
Looking for a girlfriend aged 20-25yrs,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,, natafuta rafiki wa kike,, kwa aliye tayari anicheki kwa simu Namba 0744554155.. Dini Yeyote, elimu Yeyote
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe na miaka 21 mpaka 26 elimu kuanzia kidato cha nne asiyejichubua aliye interest tuwasiliane pm plz.
Sent using...
Baadhi ya makosa yanayofanywa na baadhi ya wanawake katika mahusiano na kufanyo yasidumu.....
Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mahusiano mengi ya kimapenzi kufa, na miongoni mwa tabia...
Kwa kwel kila kitu mazoea, yan kidume kila akivaa salama dude chaliiii!
Na na demu kakomaa kitu kavu haendi!
Usku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.