Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wadau, Mimi mwanaume, natokea Kenya, Nairobi Lakini niko na encounter kadhaa za bongo ila mimi sio mswahili so Msijali lugha yangu sana. Nawaheshimu watu wa TZ kwani wengi ni watu wa heshma...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamume mcha Mungu(mkristo), natafuta mwanamke wa kuoa , umri wangu ni miaka 30+, natafuta mtu ambae ana miaka ishirini na kuendelea, kwa mwanamke ambae upo serious ani pm, ila pia mimi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta mchumba sasa,upweke tu unanitesa mimi,kwa aliye tayari namsubiri pm sichagui dini,kabila,rangi hata umri Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Nina mwanamke ambae natarajia kumuoa cku za usoni.lkn Luna jambo ambalo linanitia shaka kwake!! Yaani Mara nyingi amekua akiniambia kuwa wanaume wengi wanamtaka na wengine wanataka kumuoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Husika na kichwa habari hapojuu.Nina mke na watoto natafuta mwanamke aliyetayari Kwa mapenzi tu aliyekua na stress kama Mimi ilitufarijiane sihitaji kuoa just mapenzi tu aliyekua tayari aje...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nyie masister duuu! Wa DAR fuen sindilia zenu kweny makwapa znatia kinyaaa! Haiwezeka mpke wanja alafu sindilia na chupi zina madoa na harufu ya mbege! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6, sina kazi naish tu home Dar es Salaam na wazazi wangu natafuta mchumba aje kuwa mume. Sifa; Aweze kunipenda Awe mcha Mungu Alietayari kuoa sio...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa jina ninaitwa BENJAMINI ELIAH ninahitaji mchumba ambaye atakuwa mke wangu sifa zake Awe mkristo, .Awe mweupe, Awe na umri kuanzia 18-25, Awe mvumilivu, urefu asizidi ft 5.2 Kwa taarifa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni hivi wanawake wengi hudhani kwamba majukumu Yaliyompeleka kwa mume ni kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wanasahau kabisa kuwa lile tendo ndo kiunganishi kikubwa..! Unakuta mwanamke...
7 Reactions
88 Replies
7K Views
Nina miaka 30 nakaa Dar, elimu yangu diploma ya business administration, mm ni mweupe wastani, mrefu wastani na mwembamba wastani, sina motto na wala sijawahi kuoa. Nafanya kazi japo sio nzuri...
1 Reactions
2 Replies
951 Views
Natafuta mke wa kuoa Nina miaka 25 awe na kazi coz mimi mwenyewe Nina kazi awe mkristo niko serious Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kumuoa mkristo Na awe ana umri kuanzia 24-31 kama upo tiyar njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana miaka 27, nina degree, nimeajiriwa natafuta mchumba miaka 18-22 awe mweupe, umbo la wastani, dini mkristo, elimu yoyote ile aliyonayo. Aliye tayari anitafute inbox. Kwa wengine...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Hello, ninahtaji mchumba wa kike awe anaejielewa n.a. mstaarabu mcha Mungu umri 20-24 km upo nichek Pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Warembo wepi humu JF wako karibu na Isebania? Ningependa kupatana na mmoja wenu ili tuburudike pamoja :)
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Mimi naitaji wife material nipo serious kbsa vigezo na mashart kuzingatiwa umri wangu ni miaka 30 ni muajiriwa kwenye private sector.so mwanamke ninae mtaka lazma awe na umri kuanzia miaka 29 mpk...
0 Reactions
7 Replies
933 Views
God is great kwakweli. As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me. He gave me a gently and wonderful man ever met before. We are in the early stage of malovee but...
12 Reactions
332 Replies
23K Views
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa. Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha...
16 Reactions
281 Replies
29K Views
Hello, I'm not sure if we are getting some visitors out of our Zone, I mean Out of East Africa there, I'm Mad confidential to Tell you that am an intermediate English learner i do lots of Things...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom