Watu sita (Wanaume 4 na Wanawake 2) wamelazwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Kaunti ya Homa Bay baada ya kujeruhiwa kwa risasi kufuatia mapigano kati ya Polisi na waandamanaji katika Siku...
Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao.
Katika...
Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameishutumu Serikali ya Rais William Ruto kwa kukopa kupita kiasi wakati ambapo nchi inakabiliana na ongezeko la deni la Serikali, na kuonya kuwa Hazina...
Naibu Rais huyo wa Kenya amesema Serikali haitowavumilia Wanaoandamana kwa kuharibu Mali za watu pia wajue wao ndio sababu ya Polisi kuingia Mtaani na kupambana nao, vinginevyo wangekaa tu...
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta sasa anadai kuwa matatizo yanayowasumbua Chama cha Jubilee yalipangwa na serikali ya Kenya Kwanza na kutekelezwa kwa msaada wake.
Uhuru alifichua kwamba, ingawa...
Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police
Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious...
President William Ruto has now fired a direct warning shot to his predecessor Uhuru Kenyatta over his alleged continuous association with opposition chief Raila Odinga.
President Ruto, speaking...
Hali?
Nimeangalia video zake akimtolea Rutto maneno ya kuudhi ikiwemo matusi. Anaonekana ni binti mdogo tu
Je, huyu hasa ni nani? Ni kiongozi wa Upinzani sawa, ila nguvu anapewa na nani?
Baadhi ya raia wa Kenya katika mtandao wa Twitter wameonekana kukerwa na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan juu ya athari ya maandamano yanayoendelea kushuhudiwa.
Rais Samia alisema kuwa Tanzania...
Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One...
Mara kadhaa Chadomo imekuwa ikiwaaminisha watu kwamba Katiba Mpya ndio muarobaini wa Maisha Bora,Utawala Bora na Maadili Bora.
Kwa kinachoendelea Kenya chini ya William Ruto,Pasi na shaka...
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya...
Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan...
Wakuu heshima kwenu
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifatilia siasa za nchi zetu za Afrika mashariki hususani kipindi Cha uchaguzi.
Rwanda na Uganda sijashuhudia chaguzi zao hivyo naziacha Kama...
Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile...
MK254 njoo uone masrepa yenu huku sio kutwa nzima unakomaa na NATO vs One man Army (PUT IT IN) aka the bear rider
---
Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limethibitisha kuwa Helikopa ya Jeshi la...
Kiongozi wa zamani wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga alikamatwa nyumbani kwake eneo Kiserian usiku wa kuamkia Alhamisi. Aidha kakake Njoroge Njenga pamoja na msaidizi wake Ole lekishe...
Wakenya kwenye mitandao ya kijamii wametoka rai kwa Inspekta Jenerali wa Polisi Japheth Koome kumkamata askari huyu aliyenaswa na kamera mara tu baada ya kumpiga risasi mtu mmoja kwenye maandamano...
Mbunge wa Embakasi Mashariki Mheshimiwa Babu Owino angali bado anashikiliwa na polisi katika kituo cha Polisi cha Wanguru kilichoko kaunti ya Kirinyanga, Mke wake Fridah Ongili amethibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.