Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari wadau Kenya wameachana na mitihani wa Taifa mmoja kwa ajili ya kumpima mwanafunzi pale anapomaliza elimu yake ya msingi. Mtihani wa taifa umefutwa. Mwanafunzi atakuwa anapimwa kwa uwezo...
3 Reactions
Replies
Views
Maoifisa wa benki ya Equity Tanzania wanadaiwa kutoa siri za wateja kuhusu kiwango cha pesa walichonacho kwenye akaunti zao. Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT) lakini...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kenya mnafeli wapi? Kila kukicha migomo. Ona sasa wahudumu wa afya kulianzisha Jumatatu ya tarehe 4, November, 2019. Wameapa hakuna kitakacho wazuia.
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Fursa nyingine imeiruka Kenya ikaenda Tanzania. Siku za hivi karibuni nchi za Afrika mashariki zimekuwa zikingia kwenye deals/miungano au ushirikiano kwa mambo mbali mbali huku Kenya ikiwachwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Hivi sijui kama hawa watu wanajua Tz kuna ndege mpya 8. === The Government has announced that international flights will resume starting August 1 with China and Zimbabwe among countries...
1 Reactions
Replies
Views
Nakumbuka tukipigiwa makelele hapa eti Dada Silvya mulinge ni akili kubwa na anafaa kuongoza Vodacom Tz. Bahati nzuri TISS ya tanzania ikamchunguza kwa makini na kubaini kwamba ni Mlevi, Muuaji wa...
12 Reactions
100 Replies
9K Views
Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona ======= It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have...
3 Reactions
110 Replies
10K Views
Wakuu, Ukajanja wa Kenyatta umekwisha. Hongera Museveni, wacha linchi la njaa na ukabila likule ujeuri wao. ======
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Hilo limeamuliwa na mahakama kuu ya USA, kwamba walipwe hela ya Kenya trilioni 1.2 Aki ya nani hiyo hela ni ndefu sana.... Sijui kama majirani ambao pia waliathirika na wao watapa kitu, The US...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
  • Redirect
Ndugu zetu na mlivyo wakaidi mumeamua kuogelea kwenye hiki kitu.... Hao wote 23 wamerudishwa kwao huko wakapambane na hali yao, aidha wajifukize kama walivyoshauriwa au watajua wenyewe....halafu...
0 Reactions
Replies
Views
MY TAKE Lets see how this will end! If Raila is not smart enough, he will be left in cold again just like during Moi's handover! I won't be surprized if Raila is to end up vying in 2022 on the...
3 Reactions
11 Replies
815 Views
  • Redirect
Shirika la ndege nchini Kenya Airways wanauza ndege yao Boing 777, Hii ndege inauwezo wa kutoka nchini Kenya hadi Washington Marekani non stop ikiwa na abiria 12, huku ikiwa na free seat 239...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu.. Hivi Mikenya ina kwama wapi? Mafuta ghafi duniani sasa ni ya kumwaga..Wanunuzi wanalipwa $37 na wachimbaji agalau wawaondolee mafuta kwa matenki yao.. Nchi ya GDP wako bize kusafirisha...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Kumekucha, habari ndio hio.Tanzania ndio babalao. ====== FOOD INSECURITY! Prices of commodities rise in Migori amid dwindling supply Closure of Tanzania border means supply of rice...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakuu, Mara nyingi nimesema uwazi ni jambo la muhumu sana kwa kukabiliana na majanga ya corona. Serikali ya kikomunisti ya kenya bado inaficha idadi halisi pamoja na kutojumulisha wabunge hawa kwa...
3 Reactions
Replies
Views
Mkenya wa kwanza kutajwa kuwa na Corona amepona yuko freshi, hayo yametangazwa na rais Uhuru, duh ila maambukizi yanaendelea kuzagaa, wengine watatu wapatikana nacho kirusi. Hiki kitu tutapona ila...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Effects of Corona virus on economies where "Mzungu" investors own 70% of Stock Exchange 👇👇 ============= Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble - Citizentv.co.ke
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Wakuu, Tunajua wenzetu hapa hujiliwaza na Ma GDP lakini kwa ground mambo ni different. Huku soko la biashara hizi zikienda kwa wazungu😂😂 ====== Tuskys supermarket staff. [Jonah...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Mzee Daniel Toroitich Arap Moi ametuaga akiwa na umri wa miaka 95, Mungu amlaze pema peponi, sisi wajukuu tuendelee kuiboresha nchi. ----------------------- His death has been confirmed by his...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom