Watu 6 wapigwa Risasi Homa Bay, siku ya 2 ya Maandamano

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Watu sita (Wanaume 4 na Wanawake 2) wamelazwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Kaunti ya Homa Bay baada ya kujeruhiwa kwa risasi kufuatia mapigano kati ya Polisi na waandamanaji katika Siku ya 2 ya Maandamano

Muungano wa Upinzani Nchini Kenya uliitisha Maandamano ya Amani Nchi nzima kuanzia Julai 19 hadi 21, 2023 kupinga kuongezeka kwa gharama za Maisha

Hadi Kufikia sasa tayari watu 26 wamekamatwa kwa kushiriki Maandamano hayo


.........

Homa Bay: Six people shot in Thursday anti-government protests

Six people have been admitted to the Homa Bay County Teaching and Referral Hospital after sustaining gunshot wounds from anti-government protests on Thursday.

The six were shot following running battles between police and the protestors in Homa Bay Town.

The six include four men and two women who sustained gun injuries during protests in Shauri Yako area when police were engaging youths during day two of anti -government protest.

The hospital’s CEO Dr Peter Ogolla said the two men who were shot on the upper thigh are waiting surgical operation.

Both are admitted at the facility in a stable condition.

Homa Bay town had been deserted on Thursday morning after a contingent of police repulsed protesters, paralysing business and transport.

So far 26 people have been arrested, including Kagan ward MCA.


Source: Citizen Digital
 
Kuna wengine wanalia kuhusu bandari afu wamekaliza makalio chini
Wanajifanya ni warriors wa humu JF, ni street battles ndizo zinazoleta mabadiliko, soweto 1976 uprising ndio iliyoleta mabadiliko ndani ya SA, sio domodomo za waliokuwa exile
 
Wanajifanya ni warriors wa humu JF, ni street battles ndizo zinazoleta mabadiliko, soweto 1976 uprising ndio iliyoleta mabadiliko ndani ya SA, sio domodomo za waliokuwa exile
Huwa nawaaangalia na kelele zao nashangaa.

Nchi zozote duniani ukitaka usikilizwe jitokezw hadharani utasikilizwa tu
 
Back
Top Bottom