Muungano wa Vyama vya Upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema uamuzi huo unatokana na maombi ya Sekta mballmbali Nchini humo zinazotaka kushiriki Maandamano hayo.
Taarifa iliyotolewa na...
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema uharibifu uliotekelezwa na waandamanaji kwenye barabara maarufu ya 'Nairobi Expressway' utagharimu Serikali ya Kenya takriban milioni 700, sawa na...
Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi wakati wa maandamano nchini Kenya huku magari matatu ya Polisi yakichomwa motO na wananchi.
Maandamanano hayo yanaongozwa na kiongozi wa upinzani...
Kelele kelele
"Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa...
Raila Odinga
Kiongozi Mkuu wa Upinzani Raila Odinga amesema kuwa anatarajia kukamatwa wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuthibitisha kukamatwa kwa aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya...
Odinga Kila analosema wanatii, hata aliwambia kesho msipige mswaki asee jamaa wanatii the same Makenzie aliwambia hakuna kula mpaka mfe na kweli wakatii na wakafa kweli, hahaaa nimehitimisha...
Seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna kwenye mahojiano na televisheni ya Citizen amethibitisha maandamano sasa yatadumu kwa siku tatu mfululizo kila wiki; kuanzia Jumatatu mpaka Jumatano...
Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na...
Maandamano ya Jumatano yalishuhudia uharibifu mkubwa zaidi ikilinganishwa na ya hapo nyuma huku waandamanaji wakiharibu barabara maarufu ya Expressway, ambayo ilikuwa ndio mradi mkubwa zaidi na wa...
Muungano wa sekta binafsi nchini Kenya(KEPSA) umesema kuwa taifa linakadiria hasara ya Ksh bilioni 3 kila Upinzani unapoongoza maandamano ya kupinga Serikali.
Kepsa imesema hasara hii inatokana...
Watu watatu wameaga dunia eneo la Mlolongo kwenye barabara ya kuelekea Mombasa kufuatia vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini.
Aidha waandamanaji wa eneo hilo leo wameharibu sehemu ya...
Hali ni tete katika maeneo mengi ya Kenya leo baada ya waandamanaji kuitika mwito wa Kiongozi wa Upinzani. Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji huku...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ameahirisha ziara yake nchini; msemaji wa Ikulu Hussein Mohammed athibitisha.
Kiongozi huyo alikuwa akitarajiwa kuwasili Kenya leo.
---
Iranian President Ebrahim...
Imefikia taarifa ya Jeshi la Polisi Kitaifa kupitia vyombo vya habari kuwa kuna makundi au watu binafsi wanaopanga kufanya maandamano, migomo au mikusanyiko ya umma katika maeneo mbalimbali...
Maafisa wa polisi huko kaunti ya Murang'a eneo la Kaharati wanamshikilia Mzee mmoja kwa kosa la kupaka rangi matunda ya parachichi kuwahadaa wanunuzi kwenye barabara ya Murang'a kuelekea Nairobi...
Maswali yameibuka kuhusu utendakazi wa maafisa wa Wizara ya mambo nje inayoongozwa na Waziri Dkt. Alfred Mutua, baada ya kutuma taarifa nyingine mpya kwa vyombo vya habari ikisema kuwa Rais wa...
Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki ametuma onto kali kwa upinzania kuelekea maandamano mengine yanayotarajiwa siku ya Jumatano.
Kithure amesisitiza kuwa hakuna aliye juu ya...
Kwa muda sasa Viongozi wengi wanaomuunga mkono Rais William Ruto wamekuwa wakimkemea Rais mstaafu Uhuru Kenyatta wakidai ndiye mfadhili mkuu wa vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa Kenya.
Madai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.