Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano...
Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania.
Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui...
Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya...
Muungano wa Azimio La Umoja unakusanya ushahidi wa kuwasilisha katika kufungua kesi katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC), dhidi ya Polisi kutumia nguvu kupita kiasi katika kukabiliana na...
Boost as KDF commissions newly acquired aircraft in Nairobi
The aircraft will support and complement the three newly acquired C-27J Spartan tactical aircraft acquired by Kenya.
In Summary
• Maj...
Karibu utupie jicho yaliyomo kwenye kurasa za mbele ya magazeti leo Julai 20, 2023. Inasadikiwa wahariri wakuu wa magazeti walifikia makubaliano ya kutumia kichwa kimoja cha habari, kutoa rai kwa...
Mahakama ya Eldoret imemhukumu Fidel Ochieng kifungo cha miaka 3 gerezani au kulipa faini ya Ksh.100,000 sawa na takriban Tsh. Milioni 1.7 baada ya kukiri kutuma ujumbe wa matusi kwa aliyekuwa Mke...
Utafiti huo umetokana na kazi iliyofanywa na Taasisi ya Infotrak kati ya Julai 3 na 8, 2023 kwa kuchukua kura za watu 2,400, ambapo 15% ya kura zimesema Nchi inaelekea pazuri wakati 12% wao...
Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena...
Akijaribu kujitetea kuhusu asilimia ndogo ya maandamano katika maeneo mbalimbali nchini jana, na uhamasishaji dhaifu wa uongozi wake wa Azimio, Bwana Odinga alisema kuwa, licha ya kutokuwepo kwake...
Haya mambo ya Uongozi ni magumu Sana Hata ukistaafu basi utaandamwa tu mimi ndio sababu Nampongeza Sana mzee Mwinyi Ruksa alipostaafu tu alikimbilia Msikitini na kujikita na mambo ya muumba tu...
Hekima, Busara na Mikakati iliyotumiwa na Shujaa Magufuli imezidi kurithiwa na Viongozi mbalimbali duniani
Kenya wasema kuanzia sasa Maandamano ya aina yoyote ni Marufuku nchini humo
Waziri wa...
WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es Salaam, Kenya imetangaza maamuzi ya kusaini mikataba ya...
Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa.
Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
Uamuzi huo unakuja muda mfupi baada ya Odinga kutangazia Wananchi kuwa wajiandae kwa Maandamano ya Kimapinduzi kuanzia Julai 19, 2023, Maandamano ambayo yamepata pia kibali cha Mahakama.
Kwa...
Serikali imeondoa walinzi wa aliyekuwa Mke wa Rais Mama Ngina Kenyatta katika nyumba yake ya Gatundu na Muthaiga.
Kulingana na maafisa, Mama Ngina, ambaye pia ni mamake Rais wa zamani Uhuru...
Idadi ya maiti Shakahola yafikia 403
Idadi ya maiti zilizofukuliwa katika msitu wa Shakahola imefikia 403 baada ya miili 12 kufukuliwa tena. Hayo yamethibitishwa na Kamishna wa ukanda wa pwani...
Mfanyakazi wa ndani ambaye jina lake limehifadhiwa, anatafutwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya, baada ya kudaiwa kumuua bosi wake Rahab Karisa, kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali, siku moja...
Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amevunja ukimya baada ya kutojitokeza hadharani kushiriki maandamano.
Raila ameeleza kuwa alilazwa baada ya kuugua homa kali.
“Niko na homa mbaya sana...
Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake
Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka.
Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.