Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 313
Baadhi ya raia wa Kenya katika mtandao wa Twitter wameonekana kukerwa na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan juu ya athari ya maandamano yanayoendelea kushuhudiwa.
Rais Samia alisema kuwa Tanzania imekuwa ikipokea idadi kubwa ya wawekezaji tangu mwezi Juni kutokana na 'moto' mkubwa unaoshuhudiwa nchini Kenya.
Kauli hiyo imeonekana kuwakera baadhi ya Wakenya wakidai kuwa siku zote Tanzania ina chuki dhidi ya Kenya.
Swali; Je, ni kweli kwamba Watanzania hawapendi Wakenya?
Je, ni kweli kwamba Wakenya wanapona wivu wanapoon kuwa Tanzania ni tulivu bila ya ghasia?
Je, ni kweli Kenya inaogopa kuwa Tanzania itaipiku kiuchumi?
Kipi kifanyike kukuza uhusiano mzuri baina ya Wakenya na Watanzania?