Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Jackson M. Marucha, Mwalimu kutoka Kaunti ya Nyamira Kenya, anatuhumiwa kumpa adhabu hiyo Mwanafunzi wa Darasa la 4 mwenye miaka 9 baada ya kuripoti kuibiwa nguo zake za Shule. Mwalimu alijaribu...
1 Reactions
2 Replies
975 Views
Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin. Katika...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema hatua hiyo inafuatia kuongezeka kwa maudhui ya aina hiyo kupitia Mitandao ya Kijamii. Amesema Wizara itapitia upya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hii kitu ndio nini na why hawa jamaa wawalipe watu pesa kuja kuscan, cha kushangaza hata wengi hawajui ni kitu gani ? Imebidi serikali isitishe maana msongamano ni mkubwa sana Mwenye info...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba Elfu Saba (7,000) leo hii Jumamosi Wakiishi maeneo ya Kilifii Wapewa National Id, Birth certificates n.k Wamekuwa wakiishi huko kwa miaka 100 na hata...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Biashara ya kununua mbegu za Wanaume imeonekana kunoga na kushika kasi katika Kaunti ya Murang’a nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanawake wanawalipa Wanaume hadi Ksh. 300,000 (Tsh. mil 5.1) ili...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:- 1. Waluo waandae waraka maalum wapeleke UN kuomba eneo lao kupewa mamlaka kamili ndani ya Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
554 Views
Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga. Katika taarifa iliyotolewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By 2030, Africa's populace is supposed to top at 1.6 billion and ladies' populace will represent 58% of that populace. However the mainland is a long way from accomplishing half ladies' portrayal...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi. --- Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
External Pressure followed by a range of sanctions now looming for KK regime. What ODM oughtn't to do is to let go Ruto's lame-duck governance that now cost Kenya in terms of bloodshed. ODM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
kinacho endelea kwa jirani zetu wakenya sio maandamano ya amani bali ni vurugu ambazo hadi sasa zimepelekea watu sita kupoteza maisha na kusababisha uharibifu wa mali. Wananchi wanayo haki ya...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kamati ya Uchunguzi ya Bunge la Seneti Nchini Kenya imeitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kumchunguza Gavana huyo wa zamani wa Jiji la Nairobi kutokana matumizi mabaya ya Fedha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea...
5 Reactions
58 Replies
7K Views
Serikali imewapokonya Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga na Makamu wa Rais wa zamani Kalonzo Musyoka walinzi dakika chache zilizopita. Aidha Wabunge sita akiwemo Opiyo Wandayi vilevile...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakika huu ni zaidi ya ukatili kwa binadamu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania. Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Back
Top Bottom