Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Maafisa wa upelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa (EACC) Kenya wamewakamata Maafisa wawili wa Polisi kutoka Kituo cha Polisi cha Eastleigh Kaskazini kwa tuhuma za kutaka Rushwa...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii ni rekodi zaidi ya Vasco Da Gama. Sijajua kama safari zina tija au laa. Watanzania huwa wanasema Samia anasafiri sana ila Ruto ni kiboko...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Mawakili kote nchini wamejitolea kutoa hamasa kwa Wakenya kwa muda wa wiki moja. Kupitia zoezi lililopewa jina, "Wiki ya Uhamishaji wa kisheria'' mawakili wanachukua muda huu kutangamana na...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Ushuhuda wa gavana wa banki ya Kenya, Kamau Thugge ni kwamba wenzetu wakenya wamekuwa wakituibia kwa kukadiria fedha yao kitapeli na kuonekana na fedha ngumu kwenye ukanda wa Afrika Mashariki...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
I love Kenya and I sincerely admit that, my attachment to Kenya in various aspects has been of great positive impact in my life. However, the said attachment has had exposed me into enlightenment...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimesikia taarifa ya Waziri wa kilimo Jana Bungeni akizungumzia vibari Kwa wafanya biashara wa mazao kutoka Tanzania anadai hajafunga mipaka ila ametoa mashariti yafatayo Kwa wageni Wasajili...
1 Reactions
1 Replies
636 Views
Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo! Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Urgent Appeal for Joshua Loitu Mollel - A Plea for Help and Prayers Joshua Loitu Mollel, a young student from Morogoro, Tanzania, embarked on a journey to Israel on 18/9/2023, pursuing his dream...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Mombasa imetoa hukumu hiyo dhidi ya Happy Mwenda Mumba baada ya kumkuta na hatia ya kumtupa Mtoto wake mwenye umeri wa mwaka mmoja kwenye shimo ili asipate kikwazo wakati wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna Nchi Ina vituko kama Kenya --- David Nyawade kutoka nchini Kenya ameingia matatani baada ya kugundulika kuwa ameifanya kazi ya udaktari kwa zaidi ya miaka 16 huku akiwa hana taaluma ya...
2 Reactions
6 Replies
679 Views
Wizara ya Mambo ya Nje imetoa orodha ya Washukiwa 35 wa Ugaidi wakiwemo raia wa Tanzania, Somalia, Ujerumani, Uingereza, Bangladesh na Wakenya ambao wanatafutwa na Serikali kutokana na kuhusishwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake...
2 Reactions
1 Replies
729 Views
Mchungaji wa Kanisa la Neno nchini Kenya, James Ng’ang’a amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutoa onyo kwa waumini wake waliohitimu shahada ya kwanza kuwa waache kuhudhuria kanisani hapo...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hapo ndio Utajua kipawa ni zaidi ya hayo Makaratasi yenu. Mtu hajasomea sheria Wala hajahitimu Uwakili.lakini amewezesha kushinda kesi 26 Kwa niaba ya wateja wake,unamkamata wa nini? Nani fake...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini ndugu zanguni! Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI. Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Referendum iandaliwe na serikali kivuli ya dubwana kubwa Tanganyika lililojificha nyuma ya muungano wa hovyo kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni wakati sasa ardhi na eneo lote la...
5 Reactions
4 Replies
965 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sasa nitaanza kueleweka naposema kila wakati humu jukwaani kuwa Rais samia anachapa kazi,anafanya kazi kwa ajili ya watanzania,anatubeba kisera katika kuhakikisha hatupati...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi. Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
The United States Embassy in Nairobi has issued a security alert over suspected terror attacks in Nairobi and other parts of the country. In a statement on Friday, the Embassy urged its citizens...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom