Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Rais wa kenya amewalaani vikali magaidi kutoka palestine yaliyoshambulia kwa kuvizia waisrael wasiokuwa na hatia Alisema hayo walipokutana na Rais wa uganda Tata mseven Mseven naye amewakaripia...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Akizungumza na Kituo cha Redio cha Inooro FM, Rigathi Gachagua amesema Rais William Ruto anatarajia kusafiri kwenda China kwaajili ya kuomba mkopo wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukamilisha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wizara ya Elimu imefunga Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Theresa's Eregi baada ya wanafunzi kadhaa kulazwa hospitalini kutokana na ugonjwa wa kutatanisha. Maafisa wa elimu katika Kaunti ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakulima wa Tanzania jiandaeni na mporomoko zaidi wa bei maana soko kubwa linalotegemewa la Kenya wameivisha mahindi ya kutosha na Sasa wamepiga marufuku kuingiza mahindi kutoka Nje -.-- The...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? ---...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Katika hatua za kubana matumizi, Serikali ya Rais William Ruto imekusudia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambapo imesema haitalipia tena gharama za safari za nje ya Nchi za Maafisa wake kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bunge la Kenya limetoa wito huo kwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali likitaka Serikali kufunga shuguli zote za 'Worldcoin' kampuni inayojihusisha na biashara ya Sarafu Mtandao...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuendelee kupiga kazi bandugu, hii nchi ukijituma fursa zipo, tusiige tabia za kijamaa za kuchukia mafanikio ya wengine, huwa nafarijika sana nikiona vijana wanavyofungua kila aina ya biashara...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Wizaza ya Ulinzi wa Jamii, Watoto wote wanaolelewa kwenye nyumba hizo watachukuliwa na kukabidhiwa kwa Familia na Vituo vya Kijamii vyenye mazingira salama kwao huku zoezi hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MY TAKE: Wakenya ni watu wa ajabu sana Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
42 Replies
3K Views
When Kwame Nkrumah wrote in his 1965 book that “THE neo-colonialism of today represents imperialism in its final and perhaps its most dangerous stage,” he clearly foresaw today’s Nigeria and Kenya...
2 Reactions
4 Replies
973 Views
Joseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa Kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo Kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja kaunti ya...
8 Reactions
95 Replies
12K Views
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Avocados have in a recent past become one of Tanzania’s hottest exports with more farmers engaging in what has been christened as the green gold. However, even with production hitting record...
3 Reactions
125 Replies
6K Views
It was just a speculation but yesterday finally the DP Rigathi Gashagua aka Right G declared bankruptcy to his government. The so called EA giant has officially declared unable to pay salaries to...
16 Reactions
89 Replies
5K Views
Founding President Mzee Jomo Kenyatta Never Attended Church During His 15 Year Presidency The mere mention of the founding father of Kenya Mzee Jomo Kenyatta excites an aura of reverence, power...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taifa-1, setilaiti ya kwanza ya Kenya ya kufuatilia dunia, imerushwa angani kwa roketi ya SpaceX Falcon 9 kutoka kituo cha Anga cha Vandenberg huko California, Marekani. Space-X ambayo makao yake...
0 Reactions
9 Replies
842 Views
Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali...
4 Reactions
9 Replies
906 Views
KenGen is eyeing drilling deals in Tanzania in what looks set to cement the Kenyan electricity producer as the leading geothermal power company across the continent. KenGen acting managing...
0 Reactions
4 Replies
752 Views
Back
Top Bottom