ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,784
Hapo ndio Utajua kipawa ni zaidi ya hayo Makaratasi yenu.
Mtu hajasomea sheria Wala hajahitimu Uwakili.lakini amewezesha kushinda kesi 26 Kwa niaba ya wateja wake,unamkamata wa nini? Nani fake kati ya waliosomea na huyu?
Tunarudia kule kule kati ya mainjinia wa Makaratasi na kina Kipanya
Daktrai wa Makaratasi na Daktari wa kuzaliwa.
Mrudisheni Wakili Wetu aendelee na kazi
==========
Mamlaka nchini Kenya zinamshikilia Brian Mwenda, anayedaiwa kuwa wakili ‘feki’ ambaye kwa zaidi ya miaka kumi amekuwa akijitambalisha kama Wakili wa Mahakama Kuu ya Kenya.
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari nchini humo zinasema ‘wakili’ huyo ameshindia wateja wake kesi 26 mbele ya Majaji wa Mahakama Kuu, Mahakimu na Majaji wa Mahakama ya Rufani kabla ya kukamatwa.
Mwenda amekamtwa na Chama cha Wanasheria cha Kenya (LSK), tawi la Nairobi, ambapo imeelezwa kuwa katika taarifa za Mawakili zilizopo LSK, zinaonyesha kuwa jina la Mwenda halipo katika orodha hiyo, pia hana leseni.
Hata hivyo baadhi ya watu kwenye mitando ya kijamii, wamekuwa wakimpongeza kwa ujasiri na kujiamini huku aliyewahi kuwa Gavana wa Kaunti ya Nairobi, Mike Sonko, akijitolea kumfadhili katika masomo ya sheria.
Mwananchi