Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22 Ni hujuma kwa Ruto Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
1 Reactions
4 Replies
819 Views
Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Seneti ya Kenya inatarajia kujadili Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa ambao umeweka faini ya Ksh milioni 1 (Tsh 16 milioni), kifungo kisichozidi miezi 12 au vyote kwa mtu atakayetoa...
1 Reactions
1 Replies
527 Views
Ningependa tutumie fursa hii kushare nyimbo za kizalendo za nchi hizi mbili. Haswa zile nyimbo za kizalendo za enzi za Kenyatta/Moi na Nyerere. Nimetafuta nyimbo za Kitanzania lakini sijapata.
4 Reactions
37 Replies
19K Views
Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Mnapowaona hawa Marais wetu kila siku wako safarini msidhani Wanaenda kuzurura bali mjue Wanaenda kutafuta Fedha za kutuletea maendeleo. Gachagua amesema ni kweli Marais wa Afrika Mashariki...
0 Reactions
2 Replies
592 Views
Mwendo wa kuendelea kutia Afrika yote kwapani na kukimbia nayo. Hapa Afrika Mashariki na Kati tulishamaliza mchezo, tumefika pia SADC sasa tunelekeza pua. Magharibi na Kaskazini mwa Afrika, hili...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha na Hazina wa Kenya, Njuguna Ndung’u ameiambia Kamati ya Fedha na Mipango ya Taifa kuwa Madeni ya Mikopo ya muda mfupi yanayoendelea kuiva, kushuka kwa thamani ya Shilingi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la...
6 Reactions
388 Replies
51K Views
Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says Kenya's Treasury says the country is facing serious cash flow challenges due to the maturing debts that have delayed the disbursement of...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Katika mkutano wa bunge ulioitishwa na Rais Ruto kama kiongozi wa chama cha UDA na Muungano wa Kenya Kwanza, uliohudhuriwa na zaidi ya wabunge 200, ukweli wa gharama kubwa ya maisha ambayo kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika...
0 Reactions
2 Replies
607 Views
Mara nyingi nimewaambia Mikenya ilopo hapa JF ni vibonzo tu wanaokuja humu kutoa stress. Sikia huyu mama hapa👇👇
2 Reactions
58 Replies
5K Views
The shilling has strengthened to an eight-month high against the dollar, boosted by remittances from Kenyans abroad amid lower dollar demand by importers ahead of the festive period. Commercial...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo wanafunzi wa Mwisho wanafanya mithani wa mwisho wa waTaifa kwa shule za Misingi Kenya(KCPE) Kumbuka wana mitaala mipya ambayo imeondoa mitihani ya Taifa kwa shule za misingi. Tanzania bado...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki. Nchi hiyo Pia imekuwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu. Rais William Ruto alitoa tangazo...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
The Royal Visit: King Charles' III speech at the State Banquet at State House, Nairobi. https://www.youtube.com/watch?v=YSMqoQg6554&ab_channel=CitizenTVKenya
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Back
Top Bottom