Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,697
48,501
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.

Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Jibu swali jomba.
 
Jibu swali jomba.

Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.

Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.

Hahahaha, kwenye jeshi huko msiguse kabisa, tuendelee kubishana katika maeneo mengine sio jeshi.

Tanzania ni nchi pekee hapa Afrika yenye jeshi lenye nguvu sana baharini, hata kuizidi South Afrika. Tanzania tuna meli kubwa mbili za kisasa sana, mpya toka china, tulizinunua 2014.

Tanzania tunazo meli tatu mpya za kisasa zenye uwezo wa kubeba vifaru vinavyoweza kuogelea na kutembea ardhi ni (Amphibious tanks), ni nchi pekee hapa Afrika yenye vifaru hivyo.

Tazameni show hapa;
 
Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.

Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.

Vita yenu na wasomali imeishia wapi?
 
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.

It is very ironic to have such a superb navy. It took them days to salvage a single vehicle with 2 pax that was drowned less the 2 km from the seashore!
 
Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.

Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.

KNS Shujaa and Shupavu r second hand ships from Spain that for number of times had to be refitted with wepons after purchase!

The Kenyan patrol ship KNS Shujaa has returned from a 21-month midlife refit and training voyage, the Kenya Defence Forces (KDF) announced on 3 July.

Back
Top Bottom