Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri...
Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia.
Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya...
Jennifer Gitiri ameshtakiwa kwa kushikilia nafasi nono kadhaa za kazi za umma
She is:
Acting CEO, Council of Legal Education.
Acting Secretary, Council of Legal Education
Deputy Director, Assets...
Katika nchi za east africa, Kenya ndio inaongoza kuzamia marekani kuzidi nchi yoyote ile east africa ikifwatiwa na Uganda!
Nashukuruh sana watanzania hawana sana shobo na marekani kama majirani...
Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki,
“Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
Rais William Ruto ameendelea kufafanua safari zake za mara kwa mara za nje ambazo zimezua kejeli kutoka kwa baadhi ya Wakenya.
Akiwa katika ibada ya kanisa huko Kimende, Kaunti ya Kiambu siku ya...
Wiki ijayo ninatarajia kwenda Mombasa nchini Kenya. Nipo Mwanza, na nitavukia mpaka wa Sirari. Naombeni mwongozo kwa wenyeji na wazoefu:
1. Ni muda gani mzur kusafiri kutoka Sirari kwenda...
Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika
17 Julai 2018
Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp
Image...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Chagua amewakosoa Magavana wa maeneo yaliyokumbwa na Mafuriko nchini humo na kueleza kuwa hajaridhishwa na hatua wanazochukua ili kukabiliana na janga hilo lililoua...
Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo...
Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika...
Takwimu nchini Kenya zinaonesha nchi hiyo inashika nafasi ya saba kwenye orodha ya mataifa yenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI duniani, huku Rwanda na Tanzania zikitajwa kufanikia...
Mwanaharakati wa ODM, Nuru Maloba Okanga, ameshtakiwa kwa kumtusi Rais William Ruto kupitia akaunti yake ya YouTube.
Okanga alifika mbele ya Hakimu Mkuu wa Milimani, Lucas Onyina, ambapo alikana...
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa...
Mahakama ilisema kuwa ushuru huo ni kinyume cha sheria na haueleweki na kwamba hakuna sheria inayoruhusu Mamlaka ya Ushuru nchini (KRA) kuzikusanya.
Mahakama pia iligundua kuwa ushuru huo ulikuwa...
Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa...
Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka...
Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao...
Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.