Gachagua: Marais wa Afrika Mashariki wanaposafiri sana siyo uzururaji bali Wanaenda kutafuta fedha

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,603
141,421
Mnapowaona hawa Marais wetu kila siku wako safarini msidhani Wanaenda kuzurura bali mjue Wanaenda kutafuta Fedha za kutuletea maendeleo.

Gachagua amesema ni kweli Marais wa Afrika Mashariki wanasafiri sana lakini safari zao zina Faida Kubwa kwa nchi na jumuiya yao.

Gachagua amesema yeye ataelezea Faida ya kila safari aliyofanya Rais Ruto nje ya Kenya.

Hayo yote ametazungumza Kanisani jana Jumapili.

Source: Citizen TV
 
Source: Citizen
Ndio viongozi wetu wanavyofikiri kuhusu fursa.Wakati wengine husafiri kuchota maarifa na kuyarudisha wakwetu wanasafiri kutafuta fedha kidogo na kuibiwa zaidi
 
Back
Top Bottom