Kenya railways has been a SOE(State owned enterprise) that has been making huge losses over the last several decades. This culminated with the company making a huge operating loss of close to KSHS...
Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa...
Maaskari wanakutana na changamoto nyingi sana kwenye kutekeleza majukumu yao ya kilasiku.
Hili ni moja ya tukio la kuogofya lililompata askari akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kulinda...
Maurine Anyango ambaye ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32 anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Oyugis katika kaunti ndogo ya Rachuonyo Kusini nchini Kenya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake...
Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini...
KENYA: Jaji Mkuu, Martha Koome amemwambia Rais William Ruto aweke wazi ushahidi unaoonesha namna Mhimili wa Mahakama unavyotumika kwa Rushwa katika kuzorotesha juhudu za Serikali na akiweza...
Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea...
Hakika Naipongeza Mahakama za Kenya kwa Uamuzi wake wa kukataa Kubinafsishwa kwa Bandari ya Mombasa kulikotaka kufanywa na Serikali.Uamuzi huo Umeikasirisha sana Serikali ya Kenya Kwanza na...
Baada ya Rais wa Kenya, William Ruto kushutumu Mahakama katika Kitengo cha Sheria cha Serikali akidai kuna ufisadi na majaribio ya makusudi ya kukwamisha miradi muhimu ya Serikali, Jaji Mkuu...
Viongozi wa Kisiasa Kenya akiwemo Katibu Mkuu wa Jubilee, Jeremiah Ngayu Kioni awanadai Rais William Ruto ana njama ya kupunguza ukali wa kitengo cha Mahakama ili apitishe Sheria zinazokiuka...
NHIF Kenya yapoteza shilingi Billion 20 Kupitia malipo yanayotokana madai hewa ya Wateja wake
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa ya ufisadi wa kutisha nchini Kenya kupitia mfuko wa Taifa wa Bima...
Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na...
Watu 21 wanashikiliwa baada ya Polisi, Maafisa wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Pombe na Madawa ya Kulevya (NACADA), na Wanahabari kuvamia Baa ya Kettle House na...
Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe.
Tovuti ya NTV...
Dr Ruto amewaambia live Majaji kwamba wao ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa
Rais Ruto ni kama amerudia kauli ya Mwanasiasa Maarufu nchini na Africa Mashariki Rostam Aziz kwamba...
Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana...
Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa....
Nakumbuka mwarabu alipewa bandari...
RAIS KWA MASAA MAWILI ANATETEA SERA ZAKE KAMA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI
Katika mahojiano mubashara, rais ameamua kuongea na waandishi wa habari wa vyombo tajwa ili kuelezea mikakati anayokusudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.