KENYA: Mwalimu Mkuu atimuliwa mbiombio kisa matokeo mabovu ya kidato Cha Nne

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
Wakuu hii imekaaje? Ni sahihi mwalimu kufukuzwa? Je, tatizo ni mwalimu au wanafunzi?

Karibuni.

Hawana tofauti na wazazi wa Tz wsnaopeleka wstoto shule wakitaka wafaulu bila wao kushiriki kuwajenga watoto kufanya bidii
 
Hiyo mbona ipo hata shule za private za bongo? Wanafunzi wafeli halafu uje unilitee za kuleta mimi mkuu wa shule nakuachia shule yako fasta, kazi zipo nyingi duniani za kufanya sibebembelezi kazi ya kufundisha bora nikalime
 
Mtihani alifanya yeye au

Mitoto yenyewe siku hizi wengi wao

Mabogus tu

Ova
 
Hiyo mbona ipo hata shule za private za bongo? Wanafunzi wafeli halafu uje unilitee za kuleta mimi mkuu wa shule nakuachia shule yako fasta, kazi zipo nyingi duniani za kufanya sibebembelezi kazi ya kufundisha bora nikalime
Mitoto yenyewe hii sahv kutwa wamevaa headphone wanasikiliza singeli na amapiano na kukatika mauno
Kufatilia udaku tu utegemee watafaulu,

Ova
 
Back
Top Bottom