Hasira ya Serikali ya Kenya dhidi ya Majaji ni kuzuia Ubinafsishaji wa Bandari ya Mombasa

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,285
2,043
Hakika Naipongeza Mahakama za Kenya kwa Uamuzi wake wa kukataa Kubinafsishwa kwa Bandari ya Mombasa kulikotaka kufanywa na Serikali.Uamuzi huo Umeikasirisha sana Serikali ya Kenya Kwanza na kupelekea Rais Ruto kutoa Matamshi yaliyozua Mjadala mkubwa Nchini Kenya

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
we bwege km mabwege mengine. Kahamie kwa hao wajinga kwetu ujinga huo hauwezekani. Hauwezi kukwamisha maendeleo ya nchi kwa maslahi ya watu wachahe, napenda sana mfumo wa utawala wa nchi yetu. Rais ni mkuu wa nchi lazima awe na sauti ya mwisho bila kuyumbishwa na vyombo ambavyo havijaomba ridhaa ya wananchi kuwaongoza. hatutaki rais wetu ayumbishwe na kundi la watu wenye maslahi yao au wamekula rushwa
Kama mimi bwege wewe "Ubwabwa" ndio maana mzee Kenyatta aliwahi kumwambia Nyerere anatawala MAITI na maiti zenyewe ni pamoja na Wewe Maiti hugeuzwa geuzwa bila kukataa

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
kenya haijapinduliwa (bado) hivyo wana uwezo wa kufanya maamuzi yao wenyewe, siyo kila nchi ina huo uwezo, kenya hata umeme hawazimi kama nchi nyingine …
 
Back
Top Bottom